CHADEMA mbona mnafanya uchaguzi ndani ya chama kisirisiri namna hii?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,319
2,000
Ndugu wanajamvi nimesikitishwa sana kitendo cha CHADEMA kufanya uchaguzi kimya kimya kulikoni?
Kwanini hili zoezi la mwaka huu la uchaguzi wa CHADEMA limekuwa likifanywa chinichini na kwa kificho hivi? Haiwezekani chama kinafanya uchaguzi kwa mfano CHADEMA Mwanza wapo ngazi ya mkoa lakini ni kama hakuna kinachoendelea. Inamaana wameanza msingi, tawi, kata, wilaya jimbo na sasa wapo mkoani hata chombo cha habari kuripoti hata kwa bahati mbaya hamna?

Haiwezekani uchaguzi wa chama kikuu cha upinzani kama CHADEMA kinafanya uchaguzi mpaka ngazi ya mkoa bila uwazi kwa kujifichaficha namna hivi kuna ajenda gani huko ndani?

Hivi mnataka mpaka ikifika zamu ya kumchagua Mbowe ndiyo tuwe taken by surprise? Mpaka mfike ngazi ya taifa? Kwanini zoezi lisiwe shirikishi hasa kwa vyombo vya habari kuanzia mapema?

Uchaguzi wa kisiri siri CHADEMA una maana gani na ni kwa maslahi ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,518
2,000
Vyombo vya habari vinatakiwa viripoti habari za reli,ndege,daraja na uzinduzi. Ukitangaza habari za CHADEMA utakiona cha mtema kuni......Afu usiwe mpumbavu we umejuaje kama wanafanya kwa kujificha? Watu wameanzia msingi hadi mkoa siri unaijua peke yako,we Yesu?
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,716

Unataka polisi wawakamate tena! Au umesahau?
 
Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,319
2,000
Wengi hamjui kuwa kuna uchaguzi, hata mimi hizi taarifa nimezipata kwa sababu kuna rafiki yangu amechaguliwa huko Geita la sivyo nilikuwa sifahamu hata kama kuna kitu kama hiki kinaendelea.

CHADEMA haipaswi kuficha hili swala la uchaguzi, siyo lazima watangaze clouds au TBC au ITV. Kwanini chama kizitumie media za chama? Chama kina gazeti la Tanzania Daima, kuna CHADEMA media nk. Kama chama kinaweza kusambaza video za akina Halima mdee wakichangia bungeni, kinasambaza press release nk inashindikana vipi kusambaza taarifa muhimu kama hizi za uchaguzi kutoka mikoa mbalimbali yaani tujue Mwenyekiti wa chadema wilaya ya geita ameshinda nani, makamu Mwenyekiti, katibu, mhazini vivyo hivyo mbeya, mwanza Dar es salaam nk.
Vyombo vya habari vinatakiwa viripoti habari za reli,ndege,daraja na uzinduzi. Ukitangaza habari za CHADEMA utakiona cha mtema kuni......Afu usiwe mpumbavu we umejuaje kama wanafanya kwa kujificha? Watu wameanzia msingi hadi mkoa siri unaijua peke yako,we Yesu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,319
2,000
Ndugu siasa mpaka 2020 kwani hilo umelisahau hata mikutano ya ndani imepigwa marufuku?.
Tuacheni visingizio hizo chaguzi zimefanikiwaje kutoka misingi ya chama nchi nzima mpaka mkoani imewezekanaje?

Ndugu zangu tusidharau kiongozi wa chama wilaya, jimbo na mkoa sijui kanda ni mtu muhimu sana lazima upatikanaji wake ukajulikana.

Hawa watu wakihamiaga CCM wanapokelewa kwa shangwe, leo hii hata mwenyekiti wa CHADEMA tawi akitangaza kujiunga na CCM wanatangaza mpaka TBC lakini sisi uchaguzi wa mwenyekiti wa chama mkoa tunachukulia mchezomchezo watu wanachaguanachaguana huko na hakuna anayejali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,340
2,000
Ndugu wanajamvi nimesikitishwa sana kitendo cha CHADEMA kufanya uchaguzi kimya kimya kulikoni?
Kwanini hili zoezi la mwaka huu la uchaguzi wa CHADEMA limekuwa likifanywa chinichini na kwa kificho hivi? Haiwezekani chama kinafanya uchaguzi kwa mfano CHADEMA Mwanza wapo ngazi ya mkoa lakini ni kama hakuna kinachoendelea. Inamaana wameanza msingi, tawi, kata, wilaya jimbo na sasa wapo mkoani hata chombo cha habari kuripoti hata kwa bahati mbaya hamna?

Haiwezekani uchaguzi wa chama kikuu cha upinzani kama CHADEMA kinafanya uchaguzi mpaka ngazi ya mkoa bila uwazi kwa kujifichaficha namna hivi kuna ajenda gani huko ndani?

Hivi mnataka mpaka ikifika zamu ya kumchagua Mbowe ndiyo tuwe taken by surprise? Mpaka mfike ngazi ya taifa? Kwanini zoezi lisiwe shirikishi hasa kwa vyombo vya habari kuanzia mapema?

Uchaguzi wa kisiri siri CHADEMA una maana gani na ni kwa maslahi ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Chadema ngazi ya chini siyo mkoa halafu kanda mwisho taifa

Maana kama hapa Dsm ofisi za wilaya zote zimefungwa na kugeuzwa flemu za biashara mama lishe wanauza supu ya mapupu!
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,518
2,000
Wengi hamjui kuwa kuna uchaguzi, hata mimi hizi taarifa nimezipata kwa sababu kuna rafiki yangu amechaguliwa huko Geita la sivyo nilikuwa sifahamu hata kama kuna kitu kama hiki kinaendelea.

CHADEMA haipaswi kuficha hili swala la uchaguzi, siyo lazima watangaze clouds au TBC au ITV. Kwanini chama kizitumie media za chama? Chama kina gazeti la Tanzania Daima, kuna CHADEMA media nk. Kama chama kinaweza kusambaza video za akina Halima mdee wakichangia bungeni, kinasambaza press release nk inashindikana vipi kusambaza taarifa muhimu kama hizi za uchaguzi kutoka mikoa mbalimbali yaani tujue Mwenyekiti wa chadema wilaya ya geita ameshinda nani, makamu Mwenyekiti, katibu, mhazini vivyo hivyo mbeya, mwanza Dar es salaam nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya bado tupo ngazi ya msingi,wiki ijayo ni kata,tunaomba muendelee kuamini CHADEMA imekufa au inakufa.....sisi tutaendelea na kazi na chaguzi.
 
MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,410
2,000
wewe kama ungekua Mwana Chadema wala usingekuja kuuliza kinafiki hapa jukwaani nakushauli dogo ya Chadema tuachie wana chama wenyewe kingine tumechoka kuwazawadia watu vyeo maana kila mwenye kuwakamata wafuasi wa Chadema anapandishwa
Ndugu wanajamvi nimesikitishwa sana kitendo cha CHADEMA kufanya uchaguzi kimya kimya kulikoni?
Kwanini hili zoezi la mwaka huu la uchaguzi wa CHADEMA limekuwa likifanywa chinichini na kwa kificho hivi? Haiwezekani chama kinafanya uchaguzi kwa mfano CHADEMA Mwanza wapo ngazi ya mkoa lakini ni kama hakuna kinachoendelea. Inamaana wameanza msingi, tawi, kata, wilaya jimbo na sasa wapo mkoani hata chombo cha habari kuripoti hata kwa bahati mbaya hamna?

Haiwezekani uchaguzi wa chama kikuu cha upinzani kama CHADEMA kinafanya uchaguzi mpaka ngazi ya mkoa bila uwazi kwa kujifichaficha namna hivi kuna ajenda gani huko ndani?

Hivi mnataka mpaka ikifika zamu ya kumchagua Mbowe ndiyo tuwe taken by surprise? Mpaka mfike ngazi ya taifa? Kwanini zoezi lisiwe shirikishi hasa kwa vyombo vya habari kuanzia mapema?

Uchaguzi wa kisiri siri CHADEMA una maana gani na ni kwa maslahi ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom