kila mnapofanya harakati zen mnaishia tarime.bunda.msm mjn na mgumu na kwa taarifa yenu uchaguz 2010 cdm ndo mliongoza njoni majita tunawasubiri sana wana cdm wambieni hao waje uku naomba kuwaclisha .
kila mnapofanya harakati zen mnaishia tarime.bunda.msm mjn na mgumu na kwa taarifa yenu uchaguz 2010 cdm ndo mliongoza njoni majita tunawasubiri sana wana cdm wambieni hao waje uku naomba kuwaclisha .
Jaji kwani wewe hufahamu kwamba CHADEMA ni chama cha wototo wa mjini tu, waje vijijini kufanya nini? Kwa mtazamo wao Watanzania ni wale waliopo vijijini tu. Ndio maana hata juzi kwenye Uchaguzi Mdogo wa Igunga walishinda kwenye Kata za Mjini tu na matokeo yake wakashindwa.kila mnapofanya harakati zen mnaishia tarime.bunda.msm mjn na mgumu na kwa taarifa yenu uchaguz 2010 cdm ndo mliongoza njoni majita tunawasubiri sana wana cdm wambieni hao waje uku naomba kuwaclisha .
Ngoja ngoja yaumiza matumbo saa ya ukombozi sasaTwaja mkuu usihofu.
jaji kwani wewe hufahamu kwamba chadema ni chama cha wototo wa mjini tu, waje vijijini kufanya nini? Kwa mtazamo wao watanzania ni wale waliopo vijijini tu. Ndio maana hata juzi kwenye uchaguzi mdogo wa igunga walishinda kwenye kata za mjini tu na matokeo yake wakashindwa.
Best way ni kuwasiliana na Chadema Mkoa wa Mara , then wilaya Musoma wao watasema na Chadema Taifa .Hapa ni JF has nothing to do with Chadema .Peleka maombi rasmi kwenye Chama na utajibiwa kichama na more official .Hapa tunajadili hoja tu na kuwaelemisha wajinga wa CCM na wanao support CCM .