chadema mbona mmetutenga musoma vijijini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema mbona mmetutenga musoma vijijini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jajii02, Oct 14, 2011.

 1. j

  jajii02 Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mnapofanya harakati zen mnaishia tarime.bunda.msm mjn na mgumu na kwa taarifa yenu uchaguz 2010 cdm ndo mliongoza njoni majita tunawasubiri sana wana cdm wambieni hao waje uku naomba kuwaclisha .
   
 2. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa kutukaribisha tutakuja lakini punguza kuandika ki facebook
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu limefika,tuna operesheni safisha Tanzania inakuja,wewe subiri uone,hiyo itakuwa ni funika bovu,kila mkoa,wilaya,kijiji,kata,kitongoji,mtaa,familia,mtu mmoja mmoja atafikiwa mpaka chumbani kwake....
   
 4. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Twaja mkuu usihofu.
   
 5. K

  Kamura JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jaji kwani wewe hufahamu kwamba CHADEMA ni chama cha wototo wa mjini tu, waje vijijini kufanya nini? Kwa mtazamo wao Watanzania ni wale waliopo vijijini tu. Ndio maana hata juzi kwenye Uchaguzi Mdogo wa Igunga walishinda kwenye Kata za Mjini tu na matokeo yake wakashindwa.
   
 6. j

  jajii02 Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja ngoja yaumiza matumbo saa ya ukombozi sasa
   
 7. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,089
  Trophy Points: 280
  gamba jingine
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Best way ni kuwasiliana na Chadema Mkoa wa Mara , then wilaya Musoma wao watasema na Chadema Taifa .Hapa ni JF has nothing to do with Chadema .Peleka maombi rasmi kwenye Chama na utajibiwa kichama na more official .Hapa tunajadili hoja tu na kuwaelemisha wajinga wa CCM na wanao support CCM .
   
 9. h

  hans79 JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  imetulia
   
Loading...