HIvi vingine ndio kwanza havijajua hata kujinunulia wenyewe maji ya kuoshea wanaanza chokochoko, mngejua tumetoka wapi haya ya leo mngeyaona ni neema kubwa sana. Tanzania ndio ilikuwa hivi miaka 25 nyuma?
Kijana uliza wazee wako.
Hahahha FF bana Sasa mbona rais wetu inasekena amemwmabi Zitto kabwe kuwa akiondoka yeye anatakiwa kuingia "kijana". JK mwenyewe anaona kuna matumini wa wau amabao hawajua kujinunulia maji. Wewe unadhani uwezo wa kujinuulia maji ndio unafanya mtu kuwa iongozi bora. Huu asiyejua kununua ndi ukimtuma dukani ananunua maji ya Uhai ya lita 5 kwa shilingi 700 na huyo mzoefu wako mwingine ananua maji ya kilimaarimanjaro ya lita 1.5 kwa hilingi 700 ( Refer to BAE, EPA, KAGODA, MEREMETA, jairo.........)
But nadhani hata wewe FF kwa jinsi navyoona michango yako kidogo inaweza kuwa na maana sana baada ya mwaka 2015. Hata kama CCM itachukua najua hapo unaweza kuwaza kuchambua baadhi ya mambo kwa kutumia akili zako zote. Kuna kitu kimoja tu kinafukufanya ufumbue jicho moja kwa sasa badala ya macho mawili. Tombe uzima......
Maana kuna watu JK akisimangwa arudishe nyumba zote za sesrikali hawaelewi wanaona anonewa just bcs aliyepo madarakani ni JK. May be akiingia rais wa "jinsia" tfauti kuna mambo mtaelewa...........
Kuhusu kuwauliza wazee wangu mbona hata wao wanasema maika yao hawakuwa na vitu vya luxury lakini maisha yalikuwa mazuri. Tena katika mzee wangu una mmoja yeye ndo alinimbia nisome kitabu cha
walter Rodney..... Nakushaurisoma hiki kitabuuate cocept ya ma maendeleo
Kifupi kwa CCM hakuna neema labda ya wachache.
Ngoja nikueleze kifupi mm sio mwana CDM bali ni mtaka mabadiliko. Nacho jua CCM wil come much better , energetic and with more touch to ppl kama watawekwa benchi japo kwa miaka mitano tu....... Wewe unaonaje