Baada ya mkoa kutangaza uchukuji wa form za kugombea uenyekiti wa mkoa,watu zaid ya 10,wamejitokeza kugombea kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Shitambala,aliyewafuata ndege wenye tabia kama zake Ccm,uchaguzi unatarajiwa kuwa mkali baada ya vjana wa mkoa kumshawishi kijana mwenzao kuchukua fom,kikao hicho kilichohudhuriwa na vjana zaid ya 55,na kudumu kwa masaa ma4,hatimaye kijana akakubali na kuchukua form leo,