CHADEMA Makao Makuu isihangaike kumjibu Dkt. Slaa, ametumwa

..kwanini serikali haiundi TUME YA UCHUNGUZI ili ukweli ujulikane?
Akili ndogo tu inajua waliompiga risasi TL ndio haohao waliommaliza JPM.
It was an inside work.
TL alipigwa na maadui wa JPM wa ndani ili kumpaka jina la muuaji. It was a plan A.
na walitaka UCHUNGUZI ukifanyika uoneshe serikali kuhusika na ndio maana walihakikisha tukio linafanyika muda, na katika mazingira yanayoonesha kuhusika kwa serikali.
Plan A iliposhindikana wakapanga Plan B - wakamchomoa.
Kwa bahati mbaya ndani ya CHADEMA ni adimu saana kupata analysts waliotulia kuchanganua mambo.
Tangu akili kubwa za akina Prof Baregu, Prof Safari, Prof Kitila, Dr Slaa waondoke chama hakina uwezo wa kuanalyse mambo.
Ndio maana sasa hivi wengi wameungana na wale waliomchomoa JPM kupambana na MAITI.
 
Ukweli ni kwamba Chadema inajua ukweli kwamba huyu Dk Slaa anaongea ukweli.

Kama ni Uongo wajaribu kwenda Mahakamani kumshitaki,kwa sababu anachokifanya kinachafua Image ya Chama cha Chadema.

Lazima kina @Kibatalla wamekwisha washauri kukaa kimya maana wanajua kwa kwenda mahakamani wataumbuka zaidi.

Msisahau kifo cha Chacha Wangwe kilifunikwa,ila Mbowe anajua yaliyomkuta kule Tarime baadae.
Hadi akageuka kuwa rafiki wa Tanpol.

Chadema Kumchokonoa Dk Slaa ni sawa na kujifunga bomu la
.

Kwa hali ya siasa iliyopo nchini,wala Chadema si tishio kwa Serikali ya Samia labda kwa Zitto Kabwe.

Slaa anaamua kufunguka kadri mnavyomchokoza nyinyi.
 
100% true said ila tatizo ni ufinyu wa fikra kwa wengi wa wafuasi wao.
 
Wee jamaa unatufanya mafaaaalaaa !
 
hakukuwa na haja kwa dr slaa kuongea maneno kama yale inashangaza sana nimejiuliza nimemdharau ni snichi2.
 
Kila Mtanzania yupi mkuu,mbona mi nimeelewa mpaka kamtaja jina aliyepigwa.

Kama CHADEMA mnatulazimisha tuamini Lissu alipigwa na serikali bila uthibitisho na kuna watu wameamini.

Kwanini watu haohao wanaoamini yasiyothibitishwa wasiamini na hili.
Stupid, cctv camera Kuna mtu anaweza kuzi access Kama siyo serikali
 
Padri kawa Single Father.
Ni kumwombea tu,kachanganyikiwa
 
Stupid, cctv camera Kuna mtu anaweza kuzi access Kama siyo serikali
Hata fundi wa tv wa mtaani ukimpa ten anaifungua.

Serikali gani ya kijinga ijiingize mkenge kama huo.

Slaa anajua mengi kuliko nyinyi mnaobwabwaja humu.
 
Nimeishia kusoma hapo ulipo andika "Zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii.."

Nilijua utaweka vivid evidence.
 
Moja ya udhaifu wa Chadema ni kutokupenda na kukubali kukosolewa, hupenda kujibu hoja kwa matusi na kebehi

Aliyoyasema Dr Slaa hayashangazi kwakuwa Mbowe alishatajwa sana kuhusika ktk kifo tata cha Chacha Wangwe

Pia Zitto Kabwe kipindi anafukuzwa Chadema alitoa onyo kuwa wasije wakajaribu kumfanya kama alivyofanywa Chacha Wangwe kwani yeye katokea Kigoma na ana baraka za wazee

Hata Kubenea alishawahi kusema kupotea kwa Ben Saanane ahojiwe Mbowe kwa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…