CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

mbona wakati yuko ccm hamkusema haya,rudia kauli ya Mbowe nao wanakili nikuto kujua nakutokana na siasa za kuchafuana za ccm...!!!why Lowassa awe big deal kwenu wakati mmesema hamteteleki na kuondoka kwake??uwezo mdogo na kufail kwa siku nyngi kwa ccm huzaa watu wenye mtazamo finyu kama wewe
 
Chadema walituonyesha njia hii ya kupambana na ufisadi kama walivyo wa Scandinavia.

Ungeuliza hata mtu wa kijijini sera ya CHADEMA ni nini? Angekwambia ni kupambana na mafisadi wawe viongozi wa kijiji au kitaifa.Na CHADEMA ndio ilisababisha baraza la mawaziri kuvunjwa mara nyingi ili kuondoa wale mafisadi waliokuwa wakiandamwa na CHADEMA akiwemo LOWASA.Kitendo cha CHADEMA kubadilika sasa hivi ina maana kinaingia kwenye uchaguzi bila sera ya kupambana na mafisadi na ufisadi iliyowapa madiwani wengi na wabunge wengi .KIinaingia uchaguzi kikiongea sera mpya hewa ya ETI KUTOA mfumo CCM!!!!!.Hakiongelei mafisadi tena kwa majina sababu tayari fisadi yuko ndani ya CHAMA na kakaka high table na kapokelewa kwa nderemo.Kazi iliyopo ni kutetea mafisadi na kuwasafisha kuwa hawana kosa ni mfumo!!!!!!!!???????? wao hawana makosa.Eee mwenyezi Mungu hurumia nchi ya tanzania iokoe na matapeli wakubwa wa kisiasa akina CHADEMA na hawara zao akina UKAWA.

CHADEMA na UKAWA ni matapeli wa kisiasa wa kiwango cha juu mno.Lakini INshallah mwenyezi mungu hamfichi tapeli kawaumbua.
 
Umenena mkuu
 
mbona wakati yuko ccm hamkusema haya,rudia kauli ya Mbowe nao wanakili nikuto kujua nakutokana na siasa za kuchafuana za ccm...!!!why Lowassa awe big deal kwenu wakati mmesema hamteteleki na kuondoka kwake??uwezo mdogo na kufail kwa siku nyngi kwa ccm huzaa watu wenye mtazamo finyu kama wewe

Ingenja,

Kwa mara ya kwanza neno fisadi limesemwa na upinzani mnano mwaka 2007. Upinzani ndio walikua vinara wa ufisadi. Ghafla wamebadili mwelekeo na inashangaza. Ni watu usioweza kuwatabiri kesho wanafanya nini. Hii ni hatari kwa mustakabali wa taifa
 
Jamani ni vyema tumuunge mkono mwenyekiti wetu freeman mbowe (kwanza kwa kuangalia tu jina lake maana yake yeye ni mtu huru hababaishwi na haogopi) mbowe juzi kamkaribisha lowassa na akatuasa kuwa tumuombe lowassa radhi kwasababu tulimtukana tulimwita fisadi wakati lowassa ni mtu safi kabisa. Tulimdahlilisha wakati yeye alikuwa natumwa tu na bosi wake na kutokana na yeye kutumwa tu akakubali kupindisha taratibu na kuamuru kuwa taratibu za manunuzi zipindishwe akaandika na vimemo kuwaambia mawaziri wake wakubali kusaini mkataba wa richmond mkataba uliosainiwa hotelini kwa spidi ya ajabu. Tumwombe radhi lowassa kwa kuwa ile orodha ya mafisadi papa iliyotajwa na dkt. Slaa ilikosewa na jina lake liliwekwa kimakosa ila wale waliobaki ndiyo mafisadi. Mbowe anasema kuwa hata maneno aliyoyatoa dkt. Slaa kwenye kampeni za ubunge arumeru kuwa lowassa alifisadi pesa za jimbo kwa kufanyia mkutano wa siasa wakati zilipaswa zisaidie jimbo la monduli ni za uongo na kwamba ni mfumo ndio ulikuwa ukimfanya alazimishe kupewa fedha nyingi kuliko hata milioni 40 aliyopaswa kupewa. Lowassa aliyeongelewa na lema na kuwashukuru wananchi waliomzomea. Lowassa samahani sana. Wewe lowassa ni jembe huogopi una maamuzi magumu, ambayo ukiwa rais ndiyo utayafanya. Lowassa mwanzo ulikuwa unauogopa mfumo. Pole lowassa samahani sana. Swali langu kwa mbowe. Je, kesho wakija wakina chenge, rostam, na wengineo nao tuwaombe radhi? Sisi wafuasi wako watiifu tunasubiri agizo lako. Ewe mwenyekiti wetu ambaye zamani ulikuwa dj pale bilicana. Ila soma ushauri wa mbwambo hapa chini:
 
Moja ya sifa kubwa ya nchi za Scandinavia ni jinsi ambavyo wameweza kupambana na rushwa kupitia ngazi zote za maisha yao. Katika nchi hizi, rushwa inapambanwa katika ngazi ya jamii zaidi ya taasisi kama mahakama. Sote tunafahamu ni kwa kiasi gani mahakama ya jamii ilivyo na nguvu kuu kuliko taasisi za kimahakama zenyewe. Wala rushwa na watoa rushwa hawana ujiko wala nafasi ya kukwezwa mbele ya jamii. Kitendo hiki ndio njia pekee yenye ufanisi mkubwa kuweza kukabiliana na rushwa kwenye jamii changa kama Tanzania inayopitia ushamba wa materialism. Material life inapata heshima tu pale mhusika anapokua kajipatia hayo kwa njia ambayo zinakubalika na jamii husika.

Chadema na sasa UKAWA, walituonyesha njia hii ya kupambana na ufisadi kama walivyo wa Scandinavia. Mnano mwaka 2007, Dr. W. SLAA alianzisha mahakama hii ya kijamii pale Mwembeyanga. Huu ndio ulikua mwelekeo sahihi wa kupambana na ufisadi hapa nchini. Hakuna njia nyingine yoyote iliyofanisi ya kung'oa mizizi ya ufisadi isipokua mahakama za jamii. Inapofika hatua watu wanahoji gari umenunua kwa hela zipi? Na ndugu zako wa karibu wanagoma kupanda gari uliyonunua kwa njia za kutatanisha, ndipo wezi na mafisadi wanang'amua kukataliwa. Kukataliwa na watu unaowapenda ni hukumu kuu kuliko kufungwa miaka kadhaa Segerea.

Katika, "orodha ya fedheha," jina la ndugu Edward Lowassa lilitajwa kama fisadi mmojawapo. Kulingana na mazingira ya kimaisha nchini na changamoto zake, ndugu Edward Lowassa alizidi kupaa kwa umaarufu. Katika hatua za awali za vita hii, naweza kusema ilitegemewa kwa sababu jambo lolote zuri na la kudumu haliji kwa mbinu za zima moto. Chadema kama waanzilishi wa mahakama ya jamii, walipaswa kulitambua hili. Na kwa ujumla wake sikutegemea wafikiri kazi hii ilikua ya muda mfupi. Isitoshe, umaarufu wa Chadema ya leo unabebwa sana na dhana hii ya kupambana na ufisadi bila woga wala haya.

Kilichotokea juzi kwa Lowassa kujiunga na Chadema na kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho kinasikitisha na kuzorotesha mapambano dhidi ya ufisadi. Badala ya kuendeleza adhabu za kijamii, "kuwakataa mafisadi," leo Chadema imeibuka kidedea kuwasifu na kuhalalisha ufisadi. Hii ni kali kuliko.

Fikra fupi na nyembaba sana!

Hutokaa uweze ku-deal na dynamics ktk maisha kama mtizo wako ni huo kwa hili lililotokea. Fikiria nje ya Box maana ndani tu hakuna nafasi tena. Streach your mind a little bit friend, kuna fursa lukuki huko nje

CDM wako kimkakati zaidi na wanaonyesha uongozi uliotukuka towars 25/10. Stay tunned
 
Umesema kweli mami, Uongozi wote wa sasa umo katika picha mbay kila mmoja anamuogopa mwenzake ndio maana wanachaguana kulindana na kurithishana ili kuzuia yasiripuke, tumeona wameua, wamepiga, wamefunga watu, wamewaacha huru wanaotaka wauza unga, haya yote kuufanya utawala uwe mmoja, lakini mabadiliko yakitokea hata waliokuwa wachafu wataogopa mabo yatabadilika na kusonteana kutaanza, Walijisahau kama kuna Mungu.
 
Siasa ni mahesabu kijana, hata slaa na wengine wakisusa hakuna jipya maana wote walikuwa na wimbo mmoja tu, ufisadi. Na mbaya zaidi hawana wimbo mwingine hats slaa alikuwa anategemea ccm impe El ili aanze kutudanganya na wimbo wa ufisadi.
 
Fikra fupi na nyembaba sana!

Hutokaa uweze ku-deal na dynamics ktk maisha kama mtizo wako ni huo kwa hili lililotokea. Fikiria nje ya Box maana ndani tu hakuna nafasi tena. Streach your mind a little bit friend, kuna fursa lukuki huko nje

CDM wako kimkakati zaidi na wanaonyesha uongozi uliotukuka towars 25/10. Stay tunned

Mkuu,

Sina haja ya kufikiri nje ya box for obvious things. Ni sawa useme hata kwenda haja ndogo nifikiri nje ya box. Wewe jenga hoja unishawishi badala ya kunishambulia

Ni uongozi upi uliotukuka kwa mfano? Hebu tiririka tukusome mkuu.
 
Kwahiyo ikitokea mfano mwanao akaiba simu ya mtu utaita wizi wa mwanao ni wa mfumo? hapa elewa tabia zote inazozisikia hapa duniani zimeumbiwa watu lakini si kweli kwamba watu sote tuna tabia zote zilizoko hapa dunianai ...ni bora CCM hii tunaypifahamu ikaendelea kutawala kuliko kuwakaribisha hawa waliotwambia ni wasafi wakati wa uchumba kumb kwenye kuingia ndoa ni hatari zaidi ya ibirisi mwenyewe

Unauliza majibu? Mwanao alizaliwa akiwa mwizi? Wizi wake ni matokeo ya familia (mfumo) kushindwa kulea ndugu hilo halihitaji mjadala. Yaani kutwa mtoto anacheza barabarani yet kama mzazi hujisumbui kufuatilia mtoto yuko wapi na anafanya nini. Asipokuwa mwizi ni lazima atafi.r.w. au yote kwa pamoja na mengine zaidi.
 
Mkuu,

Sina haja ya kufikiri nje ya box for obvious things. Ni sawa useme hata kwenda haja ndogo nifikiri nje ya box. Wewe jenga hoja unishawishi badala ya kunishambulia

Ni uongozi upi uliotukuka kwa mfano? Hebu tiririka tukusome mkuu.

Anachoongelea hapo ni karata ambayo CDM wameicheza kuweza kuwafikisha kwenye lengo kuu.

Hapa nikwamba wao wenyewe viongozi hajajiamini kwamba BILA LOWASSA wanaweza kutoka na ndicho kinachotuumiza wengi.

Ila tunachohitaji ni malengo kwamba huyu Mtu alikumbwa kwenye kashfa ni jinsi gani watamcontrol ili kashfa za wizi na ubadhirifu ziweze kuonodolewa,ninajua haziwezi kwisha kwa wakati mmoja lakini zaweza kupunguzwa,basi mkakati wa CDM Management ni upi?

Pili kama wanachama tunachotakiwa ni ku-focus mbele kuona ni jinsi gani tunaweza kupata wabunge wengi hata ikibidi zaidi ya nusu ili tuweze kujenga misingi bora ya Bunge litakalo wajibika.

Wayforward viongozi wa plan ziara za kuhamasisha watu na kuwaondoa hofu hasa wale waliojitolea kwa hali na mali kupewa kipaumbela zaidi na si kuwakashfu au kuwafukuza.

Kwa wengi hii imekuja kama shock,maana wengi walimpenda sana Dr.Slaa hivyo ni suala la CDM management kulichukulia kwa uzito na si kutumia LUGHA za kuudhi au kukashfu.

Hata humu kwenye JF inabidi kumfanya mtu akubaliane nawe na si kumkashfu sababu tu yuko against the move.
 
Ungeuliza hata mtu wa kijijini sera ya CHADEMA ni nini? Angekwambia ni kupambana na mafisadi wawe viongozi wa kijiji au kitaifa.Na CHADEMA ndio ilisababisha baraza la mawaziri kuvunjwa mara nyingi ili kuondoa wale mafisadi waliokuwa wakiandamwa na CHADEMA akiwemo LOWASA.Kitendo cha CHADEMA kubadilika sasa hivi ina maana kinaingia kwenye uchaguzi bila sera ya kupambana na mafisadi na ufisadi iliyowapa madiwani wengi na wabunge wengi .KIinaingia uchaguzi kikiongea sera mpya hewa ya ETI KUTOA mfumo CCM!!!!!.Hakiongelei mafisadi tena kwa majina sababu tayari fisadi yuko ndani ya CHAMA na kakaka high table na kapokelewa kwa nderemo.Kazi iliyopo ni kutetea mafisadi na kuwasafisha kuwa hawana kosa ni mfumo!!!!!!!!???????? wao hawana makosa.Eee mwenyezi Mungu hurumia nchi ya tanzania iokoe na matapeli wakubwa wa kisiasa akina CHADEMA na hawara zao akina UKAWA.

CHADEMA na UKAWA ni matapeli wa kisiasa wa kiwango cha juu mno.Lakini INshallah mwenyezi mungu hamfichi tapeli kawaumbua.

Wewe wala si kuamini ni kati ya wale wengi waliosubiria MKONO wa BINADAMU udondoke.
 
Unaitoa CCM madarakani ili umkabidhi nani?

Je huoni ni bora FISADI mmoja ambaye anaweza kuwa controlled na anaweza pia kujua njia za panya wanazopita ili kufunga vile vinjia vya PANYA?

Je huko CCM baada ya kuondoka Lowassa wizi,ufisadi uliisha?Ni nani yuko nyuma yake kweli ni Lowassa?

Siyo Mpenzi wa Lowassa lakini Lowassa ni kama chembe moja tu ya chumvi iliyondani ya maji,je ukiitoa hii chembe utakuwa umepunguza chumvi kiasi gani kwenye maji?

Jibu ni kuondoka kwake hakutabadili ukali wa chumvi iliyoko kwenye maji.Basi je ni bora kuwaacha wezi waendelee kukomba au kumtumia anayejua njia za panya kuliokoa TAIFA?

Si mpenzi wa Lowassa lakini ninaelewa wanachofanya CDM,sidhani kama ni kwa mapenzi sana ya Lowassa lakini njia ya kuweza kufika mahali fulani ili kuliokoa TAIFA.

Let say Lowassa anashindwa kwa GOLI la MKONO lakini UKAWA ukaweza kupata wabunge zaidi ya Nusu ya bunge zima hauoni kwamba target imefikiwa?

Nadhani tuichukue hatua hii kama njia mojawapo ya kuelekea tunakotaka kwenda.Kumbuka kuna gali la mkono.

Upinzani unatakiwa utumie mbinu yoyote ili kuweza kufikisha agenda yake kuu,kujenga hasa system inayaoeleweka,system imara na Bunge imara.

Panga pangua on vurugu zilizondani ya CCM leo watu kila kukicha wanarushiana ngumi sababu ya kutaka uongozi,hivi hauoni ni wakati muafaka wa kutumia mwanya huu?

Kaka yangu ni wakati wa kulima,lima kwa kutumia aina yoyote ya kifaa,jembe,tractor fimbo mradi tulime hawa jamaa CCM wakijapatana kaka TUNAVUNA!!!!!!!!!!!!!!!

Tunahitaji MAVUNO mengi mengi sana.Sitompgia Lowassa wala MAKOMEO ila KURA YANGU YA UBUNGE na UDIWANI IKO BADO CDM .
 
Anachoongelea hapo ni karata ambayo CDM wameicheza kuweza kuwafikisha kwenye lengo kuu.

Hapa nikwamba wao wenyewe viongozi hajajiamini kwamba BILA LOWASSA wanaweza kutoka na ndicho kinachotuumiza wengi.

Ila tunachohitaji ni malengo kwamba huyu Mtu alikumbwa kwenye kashfa ni jinsi gani watamcontrol ili kashfa za wizi na ubadhirifu ziweze kuonodolewa,ninajua haziwezi kwisha kwa wakati mmoja lakini zaweza kupunguzwa,basi mkakati wa CDM Management ni upi?

Pili kama wanachama tunachotakiwa ni ku-focus mbele kuona ni jinsi gani tunaweza kupata wabunge wengi hata ikibidi zaidi ya nusu ili tuweze kujenga misingi bora ya Bunge litakalo wajibika.

Wayforward viongozi wa plan ziara za kuhamasisha watu na kuwaondoa hofu hasa wale waliojitolea kwa hali na mali kupewa kipaumbela zaidi na si kuwakashfu au kuwafukuza.

Kwa wengi hii imekuja kama shock,maana wengi walimpenda sana Dr.Slaa hivyo ni suala la CDM management kulichukulia kwa uzito na si kutumia LUGHA za kuudhi au kukashfu.

Hata humu kwenye JF inabidi kumfanya mtu akubaliane nawe na si kumkashfu sababu tu yuko against the move.

Nashukuru kwa kuwa muungwana bwana Tetty
 
Moja ya sifa kubwa ya nchi za Scandinavia ni jinsi ambavyo wameweza kupambana na rushwa kupitia ngazi zote za maisha yao. Katika nchi hizi, rushwa inapambanwa katika ngazi ya jamii zaidi ya taasisi kama mahakama. Sote tunafahamu ni kwa kiasi gani mahakama ya jamii ilivyo na nguvu kuu kuliko taasisi za kimahakama zenyewe. Wala rushwa na watoa rushwa hawana ujiko wala nafasi ya kukwezwa mbele ya jamii. Kitendo hiki ndio njia pekee yenye ufanisi mkubwa kuweza kukabiliana na rushwa kwenye jamii changa kama Tanzania inayopitia ushamba wa materialism. Material life inapata heshima tu pale mhusika anapokua kajipatia hayo kwa njia ambayo zinakubalika na jamii husika.

Chadema na sasa UKAWA, walituonyesha njia hii ya kupambana na ufisadi kama walivyo wa Scandinavia. Mnano mwaka 2007, Dr. W. SLAA alianzisha mahakama hii ya kijamii pale Mwembeyanga. Huu ndio ulikua mwelekeo sahihi wa kupambana na ufisadi hapa nchini. Hakuna njia nyingine yoyote iliyofanisi ya kung'oa mizizi ya ufisadi isipokua mahakama za jamii. Inapofika hatua watu wanahoji gari umenunua kwa hela zipi? Na ndugu zako wa karibu wanagoma kupanda gari uliyonunua kwa njia za kutatanisha, ndipo wezi na mafisadi wanang'amua kukataliwa. Kukataliwa na watu unaowapenda ni hukumu kuu kuliko kufungwa miaka kadhaa Segerea.

Katika, "orodha ya fedheha," jina la ndugu Edward Lowassa lilitajwa kama fisadi mmojawapo. Kulingana na mazingira ya kimaisha nchini na changamoto zake, ndugu Edward Lowassa alizidi kupaa kwa umaarufu. Katika hatua za awali za vita hii, naweza kusema ilitegemewa kwa sababu jambo lolote zuri na la kudumu haliji kwa mbinu za zima moto. Chadema kama waanzilishi wa mahakama ya jamii, walipaswa kulitambua hili. Na kwa ujumla wake sikutegemea wafikiri kazi hii ilikua ya muda mfupi. Isitoshe, umaarufu wa Chadema ya leo unabebwa sana na dhana hii ya kupambana na ufisadi bila woga wala haya.

Kilichotokea juzi kwa Lowassa kujiunga na Chadema na kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho kinasikitisha na kuzorotesha mapambano dhidi ya ufisadi. Badala ya kuendeleza adhabu za kijamii, "kuwakataa mafisadi," leo Chadema imeibuka kidedea kuwasifu na kuhalalisha ufisadi. Hii ni kali kuliko.

lipi bora kwako je ni shetan aliyekimbilia kwa Mungu na kutubu au ni malaika aliyekwenda kwa shetan kuungana katika kumuasi Mungu
 
Je huoni ni bora FISADI mmoja ambaye anaweza kuwa controlled na anaweza pia kujua njia za panya wanazopita ili kufunga vile vinjia vya PANYA?

Je huko CCM baada ya kuondoka Lowassa wizi,ufisadi uliisha?Ni nani yuko nyuma yake kweli ni Lowassa?

Siyo Mpenzi wa Lowassa lakini Lowassa ni kama chembe moja tu ya chumvi iliyondani ya maji,je ukiitoa hii chembe utakuwa umepunguza chumvi kiasi gani kwenye maji?

Jibu ni kuondoka kwake hakutabadili ukali wa chumvi iliyoko kwenye maji.Basi je ni bora kuwaacha wezi waendelee kukomba au kumtumia anayejua njia za panya kuliokoa TAIFA?

Si mpenzi wa Lowassa lakini ninaelewa wanachofanya CDM,sidhani kama ni kwa mapenzi sana ya Lowassa lakini njia ya kuweza kufika mahali fulani ili kuliokoa TAIFA.

Let say Lowassa anashindwa kwa GOLI la MKONO lakini UKAWA ukaweza kupata wabunge zaidi ya Nusu ya bunge zima hauoni kwamba target imefikiwa?

Nadhani tuichukue hatua hii kama njia mojawapo ya kuelekea tunakotaka kwenda.Kumbuka kuna gali la mkono.

Upinzani unatakiwa utumie mbinu yoyote ili kuweza kufikisha agenda yake kuu,kujenga hasa system inayaoeleweka,system imara na Bunge imara.

Panga pangua on vurugu zilizondani ya CCM leo watu kila kukicha wanarushiana ngumi sababu ya kutaka uongozi,hivi hauoni ni wakati muafaka wa kutumia mwanya huu?

Kaka yangu ni wakati wa kulima,lima kwa kutumia aina yoyote ya kifaa,jembe,tractor fimbo mradi tulime hawa jamaa CCM wakijapatana kaka TUNAVUNA!!!!!!!!!!!!!!!

Tunahitaji MAVUNO mengi mengi sana.Sitompgia Lowassa wala MAKOMEO ila KURA YANGU YA UBUNGE na UDIWANI IKO BADO CDM .

Ndugu Tetty,

Una hoja kabisa. Lakini pia naamini kwamba huwezi kuiba mitihani ili upate A zote kama unaongozwa na maadili. Njia hii ndio questionable. Uwezo ilioujenga Chadema miaka nenda miaka rudi ni mkubwa sana. Si hivyo tu, wamejiongeza na kuunda UKAWA. Bado UKAWA haujawa tested tunasikia Lowassa. This is where the problem starts about our opposition leaders credibility. Kwa sababu msingi mzima wa kupinga ufisadi umeyeyuka kwa maslahi ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom