CHADEMA, Lowassa apewe onyo mara moja

Afadhali baadhi ya wanachama wa chagadema mmeliona hilo washaurini na wenzenu jamani ila anyway chama kimeshauzwa iko
 
Hivi nyie ccm mna nguvu gani kuleta ushauri pumba ndani ya chama cha wanachama kwani wewe hujui Slaa alishajisifia hayohayo kwa EL kuna kosa kutoa matarajio yake na kazi aliyoifanya kwa mida mfupi mbona hamkupiga kelele wakati Manyara inaunda serikali ya mji acha hofu 20 tutawafurusha tu wanachama tumemkubali
 

Hoja zako zimesemwa sana na watu wengi wenye kuitakia mema Tanzania. Wengine ni kweli tulimuunga mkono JPM lakini hilo halijatupofua na kutoona umuhimu wa upinzani makini na imara.

Mihemuko ya kisiasa wakati wa uchaguzi ilipofua watu wengi toka pande zote. Chama tawala na upinzani. Sasa ni wakati muafaka kuangalia mambo kwa utulivu, kama ulivyofanya kwenye maada yako.

Swali la Dr. Slaa, kama Lowassa ni asset au liability kwenye CDM na upinzani kwa ujumla litajibiwa ndani ya miaka angalau miwili baada ya uchaguzi.
 
Angalieni jinsi ya kukibadili taifa. Mkishindwa kishindo cha Lowassa chaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…