CHADEMA, Lowassa apewe onyo mara moja

Mnaye huyo.
Na sasa anasema atagombea 2020, sijui kwa kuchaguliwa vipi kwenye chama kugombea nafasi hiyo, itakayofanyika miaka mitano baadaye.
Au mlifanya uchaguzi usingizini!!!!!
 
Ngojeni dawa iwaingie.

Tulipowaambia jamaa ni mbinafsi mulitubeza na kutona vikaragosi, sasa kelele za nini?

Na bado, siku ata tamka "Mnyika na Nassari wafutwe uwanachama" ndio akili zitawakaa sawa.
 
..
Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??...
Tupitie na kauli hizi pia:
  • Chagua Magufuli (sio chagua CCM)
  • Serikali ya Magufuli ni ya Viwanda (sio serikali ya CCM ni ya viwanda)
  • Magufuli 4 Change
 
Umeandika Sana lakini yanabaki Kuwa mawazo yako na yanaheshimiwa
 
Yaani nyinyi wa upande wa dola mnatoa povu kama mmepigwa kipepsi kitandani. Mbona anayoboronga JPM hamsemi nakuu Magufuli for Change siyo CCM for change. Serikali ya Magufuliu itafanya ---- siyo serikali ya CCM itafanya ------. Chagua Magufuli siyo CCM. Kwa nini iwe nongwa kwa mtu kueleza aliyonayo, anayoyafanya na ushahidi upo?

Matatizo ya utumwa wa akili uliosimikwa na CCM. Mleta mada Lowasa na kauli zake kama ilivyo kwa JPM SIYO ISSUE HIZO ISSUE NIFACTS ON THE GROUND. Elimu bure si issue kwanza bure aghali. Kuna elimu elimu elimu siyo bora elimu.
 
Hawez kuwa chadema huyu . Kada wa chadema anayejitambua Hawez andika hivyo .
Wewee! usifikiri kila mwana chadema ni Nyumbu km ww, wengine wanajitambua.

Huyo SONGOKA, humu si mgeni, ni mchadema aliekunywa maji ya bendera lkn inaonekana jamaa anajitambua.

Tofauti yake na nyinyi manyumbu wengine, mwenzenu anasimamia anachokiamini wakati nyinyi munafuata tu kisa kiongozi flani kasema.
 
Wanapata mgombea 2020 katibu hakuna
Kweli CDM vituko
 
Shida ni pale cdm inapobanwa kwenye hoja kukimbilia kujifananisha na ccm......
 
Zitto tofauti na Lowassa
Zitto hatoki kaskazini
Zitto hana pessa
Zitto hajainunua cdm
 
Mlitaka asemeje wakati mmemuuzia chama
Mnapenda pesa zake, Tulieni
 
Shida ni pale cdm inapobanwa kwenye hoja kukimbilia kujifananisha na ccm......
Rejea bandiko langu; wewe unachoita hoja kwangu mwenye kuelewa ni viroja. Una uypungufu wa elimu elimu elimu na umezoea hivyo ujinga ujinga ujinga.
 
Mh rais Ngoyai yupo sahihi, wewe waongozwa chuki tu, aliyoyasema ni kweli tupu, lini upanzani ulishawahi kuongoza halmashauri? Na lini upinzani wamekuwa Na idadi kubwa ya wAbunge mjengoni, hebu pungezi kumuwaza lowassa mtapata kansa vichwani mwenu
Basi mwambieni aunde chama chake aongoze zaidi mwaka 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…