CHADEMA: Leo, mkutano wa kufunga mwaka viwanja vya Kilombero, kuanzia saa 8 alasiri


Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,736
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,736 2,000
Viongozi wa M4C vijana akina JAMES OLE MILYA, BANANGA NA WENGINEO WAKO JIJINI HAPA TAYARI. GODBLESS LEMA YUKO NJIANI KUTOKA BUNDA ATAKUWEPO. Ndugu zangu tukutane pale kuanzia muda tajwa hapo juu. Habari hizi ziwafikie Mzee wa Rula, Crashwise + all.
Updates.;
Watu ndio wameanza kusogelea eneo la tukio, na majukwaa yanamaliziwa kupangwa•
 
Last edited by a moderator:
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 2,000
Mkuu umesomeka nitakuwepo nimemiss sana mikutano ya M4C...ngoja nifanye utaratibu wa kurudia kamera yangu...
 
O

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
384
Points
0
O

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
384 0
Ndiyo Wakuu! Heshima kwenu! Baada ya mafanikio makubwa ya mikutano miwili i.e bunda mjini na Musoma mjini chini ya Makamanda Lema na Mawazo katika lile vuguvugu la mabadiliko (M4C), maarufu kwa OPERATION CHAKAZA CCM, leo Makamanda hawa wata endeleza harakati hizo jijini Arusha katika viwanja vya Kilombero.

Katika mkutano huo, Makamanda wengine kama vile Ole Millya na Bananga wataungana pamoja katika kuendeleza harakati za ukomboz wa pili toka kwa serikali ya kikoloni ya CCM. My take:-

NAPE ENDELEZA PROPAGANDA ILI CCM IFE 2015. CCM HAINA HATI MILIKI YA KUTAWALA TANZANIA NENDA RUDI BY FILIKUNJOMBE, MB CCM- LUDEWA.
 
S

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
1,835
Points
0
S

sokoinei

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
1,835 0
Nijweli,lakin gari ya matangazo imepita fasta fasta sijui wanaogopa kukamatwa na polisccm! Na wameshtukiza sana sijui kwakua nijimbo la cdm.na kunasehem hawajayapata matangazo ila naamin watu watafull ila mshitukizo huu, au kina shonza wameongezeka nini? Ntaenda viva cdm
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,736
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,736 2,000
Mkuu umesomeka nitakuwepo nimemiss sana mikutano ya M4C...ngoja nifanye utaratibu wa kurudia kamera yangu...
Njoo mkuu Crashwise nakungoja kwa ajili ya mafoto•
 
Last edited by a moderator:
B

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
280
Points
0
B

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
280 0
Poa makamanda endelezeni harakati za ukombozi na kumbukeni kuweka updates na photos
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,271
Points
2,000
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,271 2,000

.....kamanda niko njiani nakuja eneo la tukio.....
.
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,736
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,736 2,000
Hatulali mpaka kieleweke,kufukuza wa kolon weus inataka moyo,yaani nduguyo ndio mwizi wako okey twenden sasa kwa wingi
Huwezi kuamini wingi wa watu kwa muda mfupi hivi BAHARIAA!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,283,662
Members 493,764
Posts 30,796,057
Top