CHADEMA: Leo, mkutano wa kufunga mwaka viwanja vya Kilombero, kuanzia saa 8 alasiri

Katibu wa wazee mkoa wa Arusha ambae ni mwazilishi wa TAA, Tanu na baadae CCM pia ni mwanzilishi wa CHADEMA amewaambia vijana kuwa yeye anaifaahamu CCM kuliko hata mavi yake kuwa CCM imewafanya watanzania kuwa ni mtaji wao nabado wanaendelea kumbebeleza arudi CCM yeye anawaambia hawezi kula maharage kisha akisha yanya ayatafune tena...
 
Gagnija Mjengwa kama ataweka picha zake za zamani za kale we mwache tu. Ila nadhani hapa leo hakutia timu kabisa. Katikati ya mkutano mvua iliyonyesha imeonesha baraka kwa mkutano huu.
Na watu walivyo komaa imeonyesha pia watu wana hamu ya kusikiliza sera siyo Fiesta ya CCM...
 
Katibu wa wazee mkoa wa Arusha ambae ni mwazilishi wa TAA, Tanu na baadae CCM pia ni mwanzilishi wa CHADEMA amewaambia vijana kuwa yeye anaifaahamu CCM kuliko hata mavi yake kuwa CCM imewafanya watanzania kuwa ni mtaji wao nabado wanaendelea kumbebeleza arudi CCM yeye anawaambia hawezi kula maharage kisha akisha yanya ayatafune tena...

khaaa! Mbona katumia maneno makali?
 
Maneno malaini kwani yuko chumbani na mkewe...na siyo maneno tu na vitendo vilikuwepo mzee nawaambia yeye sasa anamiaka 94 hata Nyerere alikuwa mdogo kwake lakini haitaki CCM licha ya yeye kuanzisha...
khaaa! Mbona katumia maneno makali?
 
Watanzania mmetakiwa msiwe kama maiti kuwa ikilala upande furani basi haiwezi kugeuka geukeni hameni CCM...
 
Imefanikiwa na mvua?

Mkuu MARCKO watu wa Arusha wana itikadi ya ajabu sana! Mvua imenyesha nao wakashangilia na kuendelea na mkutano katikati ya mvua! That's very strong solidarity! Hata hivyo muda ulikaribia kwisha.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania mmetakiwa msiwe kama maiti kuwa ikilala upande furani basi haiwezi kugeuka geukeni hameni CCM...

Hakika simuelewi kabisa mtu yeyote awaye yote anayeipenda na kuitetea CCM iliyotufikisha ktk maisha haya..
 
.....nimemuona kamanda.... mstari wa mbele....G. LEMA....akifyatua.....heavy missiles... mfululizo nazani ......yalikotua .......majangili.... wanatafutana.....
 
.....nimemuona kamanda.... mstari wa mbele....G. LEMA....akifyatua.....heavy missiles... mfululizo nazani ......yalikotua .......majangili.... wanatafutana..........

Yule bingwa wa kusafiri na kupiga picha na masupa staa ana mwogopa kama ukoma sijui ni kwanini...
 
Safi sana tuwamasishe watu wajiandikishe pamoja na mawasiliano yao ilikujua wako wapi.

Kurunzi licha ya kujiandikisha tu, elimu ya uraia inapaswa kusambazwa kwa wananchi ili wajue sababu na umuhimu wa kupiga kura.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom