Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,135
- 13,254
Viongozi wa M4C vijana akina JAMES OLE MILYA, BANANGA NA WENGINEO WAKO JIJINI HAPA TAYARI. GODBLESS LEMA YUKO NJIANI KUTOKA BUNDA ATAKUWEPO. Ndugu zangu tukutane pale kuanzia muda tajwa hapo juu. Habari hizi ziwafikie Mzee wa Rula, Crashwise + all.
Updates.;
Watu ndio wameanza kusogelea eneo la tukio, na majukwaa yanamaliziwa kupangwa
Updates.;
Watu ndio wameanza kusogelea eneo la tukio, na majukwaa yanamaliziwa kupangwa
Last edited by a moderator: