CHADEMA: Leo, mkutano wa kufunga mwaka viwanja vya Kilombero, kuanzia saa 8 alasiri

Ole Millya amesema chadema imejipanga kuhakikisha watu wanajiunga na chadema na wana jiandikishwa kwenye daftari la kudumu hii kampeni itaanza mapema mwakani ambapo kila sehemu ya mkusanyiko wa watu kutakuwa na sehemu ya kujisajiri na chadema ambao watu watawaingiza kwenye system ambayo itatumika kujulishana na kukumbusha mambo mbali mbali..
 
Ole Millya amesema chadema imejipanga kuhakikisha watu wanajiunga na chadema na wana jiandikishwa kwenye daftari la kudumu hii kampeni itaanza mapema mwakani ambapo kila sehemu ya mkusanyiko wa watu kutakuwa na sehemu ya kujisajiri na chadema ambao watu watawaingiza kwenye system ambayo itatumika kujulishana na kukumbusha mambo mbali mbali..

Mkuu hiki kitu nimeipenda sana kuwa na rekodi ya wanachama wako naomba ianze mapema.
 
Hapa nilipo natumia Desktop halafu sina UPS na umeme una subua kweli, Watu walikuwa wamejaa sana licha ya mvua kubwa kuwanyeshea lakini hawa kukimbia kama ilivyototea kwa mkutano wa mafisadi siku chache

zilizopita.....
 
DSC01868.JPG
hatimae nimefanikiwa kurusha hii
 
Ole Millya ameapa kama CCM itashinda ni bora asipande jukwaaani tena na pengine akahama nchi maana haiingii akili watanzania wanavyo teseka waichague CCM tena..
 
Mawazo amewaambia wana Arusha yeye hakuona haja ya kusherekea miaka 50 ya uhuru wakati maisha ya watanznia yako hatarini polisi wana tuwinda siku hizi ukimuona polisi na jambazi ni afadhali ukimbilia kwa jambazi maana utalipa pesa na utakuwa salama lakini polisi watakuua na mali zako watachukua, hakuna haja ya kushekea miaka 51 wakati mama zetu wanaombwa wembe,pamba, nyuzi na nk mahospitalini huju wadogo zetu wakifa kwa alimonia kwa kulala sakafuni...
 
View attachment 74377
Chadema Arusha hata ikiitisha mkutano usiku watu watajaa leo licha ya mvua kubwa kunyesha watu wakuondoka...Peeeeeeeeeeeeeeeeeeooplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Gagnija Mjengwa kama ataweka picha zake za zamani za kale we mwache tu. Ila nadhani hapa leo hakutia timu kabisa. Katikati ya mkutano mvua iliyonyesha imeonesha baraka kwa mkutano huu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwenyekiti wa mtaa alisema CCM ni wapuuzi kweli wanasema chadema haijui CCM, inaongea uongo lakini wana sahau kuwa huo uongo wa chadema ndiyo umewapelekea wao kunza kuwaambia watanania kuwa wanawavua magamba mafisadi.. sasa hapo uongo wa chadema uko wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom