CHADEMA: Leo, mkutano wa kufunga mwaka viwanja vya Kilombero, kuanzia saa 8 alasiri

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,134
13,253
Viongozi wa M4C vijana akina JAMES OLE MILYA, BANANGA NA WENGINEO WAKO JIJINI HAPA TAYARI. GODBLESS LEMA YUKO NJIANI KUTOKA BUNDA ATAKUWEPO. Ndugu zangu tukutane pale kuanzia muda tajwa hapo juu. Habari hizi ziwafikie Mzee wa Rula, Crashwise + all.
Updates.;
Watu ndio wameanza kusogelea eneo la tukio, na majukwaa yanamaliziwa kupangwa•
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umesomeka nitakuwepo nimemiss sana mikutano ya M4C...ngoja nifanye utaratibu wa kurudia kamera yangu...
 
Ndiyo Wakuu! Heshima kwenu! Baada ya mafanikio makubwa ya mikutano miwili i.e bunda mjini na Musoma mjini chini ya Makamanda Lema na Mawazo katika lile vuguvugu la mabadiliko (M4C), maarufu kwa OPERATION CHAKAZA CCM, leo Makamanda hawa wata endeleza harakati hizo jijini Arusha katika viwanja vya Kilombero.

Katika mkutano huo, Makamanda wengine kama vile Ole Millya na Bananga wataungana pamoja katika kuendeleza harakati za ukomboz wa pili toka kwa serikali ya kikoloni ya CCM. My take:-

NAPE ENDELEZA PROPAGANDA ILI CCM IFE 2015. CCM HAINA HATI MILIKI YA KUTAWALA TANZANIA NENDA RUDI BY FILIKUNJOMBE, MB CCM- LUDEWA.
 
Nijweli,lakin gari ya matangazo imepita fasta fasta sijui wanaogopa kukamatwa na polisccm! Na wameshtukiza sana sijui kwakua nijimbo la cdm.na kunasehem hawajayapata matangazo ila naamin watu watafull ila mshitukizo huu, au kina shonza wameongezeka nini? Ntaenda viva cdm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom