Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 5,742
- 4,288
Samahani, kwani walishawahi kuwa na uelekeo wowote?!!!
Ok, nikijibu swali lako; jibu ni ndiyo!
Ok, nikijibu swali lako; jibu ni ndiyo!
Kiswahili fanya consultation ni sawa na kusoma vitabu vingi zaidi ili kujifunza maarifa! Kujua ni kitu kingine na kuyatumia ukiyojifunza ni kitu kingine!Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.
Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Kwa hiyo wewe demu unetoka kutiwa ? Bora uwe hujaambukizwa UKIMWI tuZitaje hizo hila ili uaminike na sio utoe chuki mbovu zisizonamashiko. Huko ccm hamna uwezo wa kushindana na Lissu kwenye hoja bila ya policcm na propaganda mbovu kama demu aliyegongwa na kutolipwa mafao yake.
Nimetoka kutiwa na mama yako yeye akiwa juu.Kwa hiyo wewe demu unetoka kutiwa ? Bora uwe hujaambukizwa UKIMWI tu
Kiko wapi sasa?Mbowe hakuwa alfa na omega ililizamika chama kiwe transfiguration. Kulialia mbowe alikuwa bora chamani ni upuuzi mtupu, hata hawa viongozi wapya ni bora kwa nyakati zao