CHADEMA kwenda kwa Raila Odinga ni kukosa mwelekeo?

Soul21

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
168
Reaction score
281
GmqHbnSWgAA_rCO.jpg_large.jpg
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.

Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.

Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.

Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
 
View attachment 3280194

sio tu imekosa uelekeo bali pia ni kukosa maono ya kisiasa,

kwenda kuomba ushauri na mawaidha ya kinara wa kushindwa chaguzi kenya, ni kujihakikishisha nawe kushindwa daima vile vile. unategemea kujifunza nini kutoka kwa mtu alieshindwa zaidi ya kushindwa kwenyewe?

halafu hizo suti za Lisu huwa wanashonewa na fundi moja na rais museveni wa Uganda ee? :pedroP:
 
Stupid. Huna akili
 
Diplomatic talk inatakiwa ihusishe watu walioendelea, si mtu ilimradi yupo tu kwenye medani, hapa chadema wamebugi. Walau wangeomba wakutane na raisi mwenyewe au mawaziri waliokuwa pale
 
Uzuri Raila ameonyesha ni mtu wa aina gani asiyependa majungu wala unafiki huyu ni rafiki wa kweli wa Hayati Magufuli baada ya kuongea nao walivyo ondoka tu nyuma akamwaga mambo yote hadharani mchana kweupe mbuzi anakula majani..bila ya kuwapa nafasi ya kupika uwongo na majungu juu ya walicho ongea...ushauri wake ni mzuri kama walimdhihaki Mbowe kwa kufanya maridhiano Odinga hakuwaficha...kifupi wamechemka na wanajuta kumfuata.... Odinga sio warioba wala mwamakula...
 
View attachment 3280194
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.

Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.

Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.

Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.

Katengeneza kamrija kakujipatia hela kamaitwa TONETONE. Fedha kidogo tu wamepata wameanza kudhurura; last month alikuwa Uganda, mwanzoni mwa mwezi huu alikuwa Angola na jana alikuwa Kenya.

Halafu badala ya kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura yeye anawaambia NO REFORMS NO ELECTIONS.

Mwambieni hizo ni ndoto, hakuna nzi yeyote wa CDM anaweza kuzuia uchaguzi
 
View attachment 3280194
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.

Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.

Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.

Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Mzee wa KUROPOKA kwenye ubora wake, hapa CHADEMA watakumbuka Freeman Mbowe. Waliingia choo cha mashoga, hawatoboi
 
Mbowe hakuwa alfa na omega ililizamika chama kiwe transfiguration. Kulialia mbowe alikuwa bora chamani ni upuuzi mtupu, hata hawa viongozi wapya ni bora kwa nyakati zao
 
Lissu amejipambanua kama sio mfuasi wa siasa za mapendano wala maridhiano. RAILA ODINGA ni mwanasiasa wa siasa za mapendano, maridhiano, handshake. Je Lissu hajaona wanasiasa wa mlengo wake wa mshikemshike akazungumze nao hao?
Au alikuwa anatupanga tu kupata kura za kumuondoa Mbowe? Mazungumzo hayaepukiki kwenye siasa
 
sio tu imekosa uelekeo bali pia ni kukosa maono ya kisiasa,

kwenda kuomba ushauri na mawaidha ya kinara wa kushindwa chaguzi kenya, ni kujihakikishisha nawe kushindwa daima vile vile. unategemea kujifunza nini kutoka kwa mtu alieshindwa zaidi ya kushindwa kwenyewe?

halafu hizo suti za Lisu huwa wanashonewa na fundi moja na rais museveni wa Uganda ee? :pedroP:
Mkuu hii komenti itawauma sana hata kama hawatasema! Lissu ni mwanasiasa asiye na mvuto kwenye mavazi! Anavaa hovyo hovyo!!😄😄😄😄
 
Katika watu ninaowashangaa ni Raila. Kalonzo amemsaidia miaka yote halafu anamuacha.
 
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.

Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.

Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.

Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.
Lakini bila ya kuiba kura hamsindi.
 
Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.

Katengeneza kamrija kakujipatia hela kamaitwa TONETONE. Fedha kidogo tu wamepata wameanza kudhurura; last month alikuwa Uganda, mwanzoni mwa mwezi huu alikuwa Angola na jana alikuwa Kenya.

Halafu badala ya kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura yeye anawaambia NO REFORMS NO ELECTIONS.

Mwambieni hizo ni ndoto, kakuma nzi yeyote wa CDM anaweza kuzuia uchaguzi
Zitaje hizo hila ili uaminike na sio utoe chuki mbovu zisizonamashiko. Huko ccm hamna uwezo wa kushindana na Lissu kwenye hoja bila ya policcm na propaganda mbovu kama demu aliyegongwa na kutolipwa mafao yake.
 
Cdm hawatakiwi kupaniki, kuna watu ndani ya region wanacheza timu zote
 
CDM ni akili kubwa, naona miezi 3 sasa ndiyo kidogo mmeanza kuelewa hata hili la " No reform....No elecrion."
 
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.

Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake.

Alifanya hivyo miaka yote kwa na ukichunguza aliweza kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.

Juzi uenyekiti wa Afrika alikosa akarudi kuketi na Ruto. Hovyo silka ya si ya kwenda kuwapa CHADEMA ushauri mimi naona wameenda kujikosha tu.

Jaman waacheni wafanye wanachokiona kwao ni sawa

Mbona CCM Wana marafiki? Na wao Rafiki yao ni Raila

Kwani shida iko wapi
 
nakubaliana na wewe ,raila Hana tofauti na mbowe ameshakongolomaizi na ruto.....kaua kabisa Ile legacy yake kwa wakenya
 
Back
Top Bottom