Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Fikiria chadema nayo ingekuwa na Mwenyekiti mpya kila baada ya Miaka 5-10 hamuoni kwamba ingewasaidia kutatua matatizo yenu kwa kuleta mawazo mapya yawe mabaya au hata kama siyo bora kulinganisha na ya uongozi uliopita lkn hii inasaidia Chama kukua na kukomaa!
Sasa hivi ni zamu ya Magufuli na yeye ana timu yake na wana mawazo yao ya jinsi ya kuongoza CCM na haijalishi kama ni mazuri au la lkn moja linabakia baada ya wao kuondoka 2025 CCM itazidi kukomaa!
Sasa chadema Uongozi ule ule kwa zaidi ya miaka 20 mnawezaje kupata Viongozi wazuri kama hamtoi nafasi kwa wengine kuja na mawazo mapya?
I mean msitafute mchawi, ninyi ndiyo tatizo, mnaendekeza Umungu mtu, ...