Taasisi ni watu, na mifumo inaundwa na mtu. Walishaahidi ruzuku kushuka hadi mashinani sasa in 3 months ni ngumu sana kutekeleza hilo. Wape muda kiasi utaona mabadiliko.Brother mimi sina shida na viongozi shida ni taasisi kiongozi ni binadamu na wala huna tofauti nae CHADEMA inapaswa kujiendesha kitaasisi na sio kutemea kiingozi.... Kiongozi afuate maono na mitazamo ya taasisi na sio yake binafsi
Yes reforms yes electionNo reform, Yes election
LissuHakika.... Turudi hapa RAIS (sijui atakua nani) Akiwa naapishwa...
No reform, Yes election.Yes reforms yes election
No reforms. ni electionNo reform, Yes election.
2025 be like 2020
Nyumbu ni wazuri sana kwa hili. Wakiona hawawezi kujibu hoja zako wanakimbilia kurusha mitusi.Msiokijua chama mnachoshabikia karibuni kwa matusi,
taasisi ilikuwa ya mbowe, jambo likimjia anaitisha vikao wanajadili pamoja, hawa analowaza kichwani ndo litekelezwe ukimbishia unapigwa ngumi ya jicho,Taasisi ni watu, na mifumo inaundwa na mtu. Walishaahidi ruzuku kushuka hadi mashinani sasa in 3 months ni ngumu sana kutekeleza hilo. Wape muda kiasi utaona mabadiliko.