albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,000
- 3,395
Kwanza nianze kwa kusema kila mtu ana uhuru wa kupandisha mada yoyote humu na nasikitika wafuasi wa chadema kujiona wao ni bora, wenye elimu zaidi, wenye exposure zaidi ya mtu anaepingana nao. Hii ni dalili nyingine ya UJINGA.
......
Nachelea kusema CHADEMA mnachokifanya ni upuuzi na ni kwa sababu wafuasi wenu wengi hawajui yanayoendelea ndani na yanayofanywa na viongozi. Wanachama wa CHADEMA wana tatizo moja kufuata upepo bila kufikiri jambo kwao harakati ni siasa na siasa ni harakati wakasahau siasa za uanaharakati zinaruka kipengele cha sayansi ya siasa na kuexpose kila kitu mapema. Ndo mana chama kikibanwa kwenye angle moja basi kila kitu kinakufa na vilio vinaanza.
Juzi mmetangaza tarehe ya mikutano yenu kanda ya viktoria ivi kweli nyie ni wa kuupangia mkoa TSH 800,000 ya kufanya mikutano ya hadhara????? Serious kabisaaaa na mnaitaka nchi ?????
Yanii LAKI NANE mkoa wenye wilaya zaidi ya nne na majimbo zaidi ya 6 tena ngome yenu hasa ambapo mngekaza mnaweza kupachukua leo mmetenga laki 8 ,kuendesha mikutano ya hadhara....
Nachelea kusema mtabaki kuzua taharuki tu na kufanya vituko ili kutengeneza publicity ila in out viongozi wenu wanaujua ukweli HAKUNA MNALOFANYA.
Bony Yai na Heche wanajua ukweli mwezi March kiongozi mmoja wa BAVICHA kwa kulinda heshima yake simtaji. Kashindwa kulipa laki 7 kama sehmu ya mkutano wake akashikiliwa maeneo fulani ni busara za jeshi la polisi hii ishu haikwenda viral sasa haka kalikua kamkutano ka kata tu leo 800k ikasimamie Mkoa au Mkutano wa wilaya/jimbo nzima????
Leo hii kila kitu kimekufa kwenye majimbo watu wanahaha pa kupata pesa ili kuwezesha ujio wa viongozi wa kitaifa... TONE TONE inafanya nini mpaka kufikia hali hii??? Wadau na wahisani wako wapi CHADEMA inatapatapa kiasi hiki???
Think tanks zenu hazikuona hili tangu mwanzo... Kwanini mnafosi mambo mengi kwa wakati mmoja na uwezo hamna?? Kwanini msijijenge kwanza kama chama kabla ya kuja front?? Mnajichimbia kaburi bila kujua na ni bora mngeratibu mabadiliko ya ndani kwanza ndipo mje kwa wananchi.
Kwa pamoja tufikirie CHADEMA nje ya hizi vurugu kuna nini?? Kama una akili majibu utayapata na utagundua kwamba ni lazima hizi ziwepo atleat kujipapatua kwamba wapo ila ukweli ni kwamba ndani ya chama ni shimo kubwa lisilo kitu (empty hole)
Msiokijua chama mnachoshabikia karibuni kwa matusi, mnaokijua chama mnachokipenda ni muda wa kujitathimini. Tunaopenda mabadiliko ila hatuoni dhamira ya dhati katika siasa tushike tama.
Ni ukweli mchungu ila inabidi kuumeza.
Ahsanteni.