CHADEMA kuweni makini na Tumaini Makene

Fair

Member
Aug 20, 2018
34
161
Nashangaa huyu Mtu mpaka sasa yupo hapo. Patrobas Katambi tuliwaambia hapa mkadharau. Kazi ya Makene ni moja, kuhakikisha habari za CHADEMA haziwafikii wananchi kwa wakati.

Safari hii mnajua hamtakuwa na coverage na vyombo vya habari, lakini bado mmepwaya kwenye uwanjaa huu.
 
Tatizo chadema mnashtukashtuka sana.yani mkiguswa hata na nyasi mnashtuka saaana.
 
Back
Top Bottom