CHADEMA kuweni makini na Tumaini Makene

CHADEMA kuweni makini na Tumaini Makene

Makene ni kuwa muda mrefu hana malipo, so unawezaje kufanya kazi kubwa hiyo bila malipo
INA maana ata data ananunua mwenyewe?..Yuko na Kaz nyingine tofauti na ya Chadema?..au anajitolea Kwa makubaliano ya kulipwa chama kikikamata Dola?
 
Msemaji wa taasisi au kikundi fulani lazima mwenyewe awe anajua kuongea kwa maana ya kujua kupanga maneno, hoja , articulation ya maneno n.k

Katika wasemaji wa taasisi waliopungukiwa na baadhi ya vigezo hivyo ni pamoja na Bwana Tumaini Makene. Mwingine ambaye nilikua simkubali ni Boniface Wambura wakati akiwa msemaji wa TFF.

Suala hili wala sio la taaluma bali ni kipaji tu alichotoa Muumba Mwenyewe. Kama mtu anajiona hana kipaji hicho ni bora awapishe wengine wanoweza kufanya kwa ufanisi
 
Yeye.hatoi habari hewa bali zile zilizothibitishwa na chama kuna watu wanataka atoe hata habari za uzushi
 
Mwaka huu mkipata mbunge mmoja, mutafukuzana wote hapo ufipa.
 
So unataka kusema Makene nae "Afisa Kificho" au " Afisa Kipenyo"??
 
So unataka kusema Makene nae "Afisa Kificho" au " Afisa Kipenyo"??
Unauliza jibu?,hakuna mkate mgumu mbele ya chai,mtanyooka tu,nani afanyie bure ikiwa yeye binafsi na wategemezi wake wana mahitaji?,
 
Nashangaa huyu Mtu mpaka sasa yupo hapo. Patrobas Katambi tuliwaambia hapa mkadharau.

Kazi ya Makene ni moja, kuhakikisha habari za Chadema haziwafikii wananchi kwa wakati.

Safari hii mnajua hamtakuwa na coverage na vyombo vya habari, lakini bado mmepwaya kwenye uwanjaa huu.
Niliweka hapa thread .Huyo checkbob hawezi kazi. Lazima pawepo msemaji makini na sharp . Mbowe alisaidiwa sana na mikakati ya Lowasa . Chadema haijajipanga . Sijui Kama Wana management ya uchaguzi na resources. Kila mmoja anataka ubunge bahati mbaya kwa mtindo huu Kila mtu atakosa ubunge
 
Back
Top Bottom