GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,280
- 2,900
wakija chadema itakufa kifo cha mende, sema hii kitu haiwezi kutokea na ikitokea mimi najifuta JF
Mkuu nakumbushia tu ushajifuta au bado upo?
wakija chadema itakufa kifo cha mende, sema hii kitu haiwezi kutokea na ikitokea mimi najifuta JF
CDM ni chama makini hakiwezi kupoke virusi vilivyoua ccm kwa na chenyewe kitakufa kama ccm.
acha giliba, waliokutuma waambie washindwe na walegeye!!! Waeleze cdm si mahalapamafisadi, period.
Hata kama wanasema hawamkatai mtu yeyote kujiunga na CDM, lakini kwa kuwaruhusu Lowassa, 'Vijisenti' na Rostam ni kukiua chama.
peleka jukwaa la jokes hapa si mahala pake nafikiri umesahau kidogo
Labda wanaenda ccm-b ,kawaulize vizuri waliokupa tetesi
CHADEMA wakikubali kuwapokea Lowassa, Rostam na Chenge (watu watatu) ni sawa na kuwafukuza wapiga kura au wanachama wengine wa CHADEMA zaidi ya laki tano (500,000) mimi mwenyewe nikiwepo. Hatupendi kitu kama hicho kitokee.
.. Kwanza mtu anaanzaje kufikiria hoja dhaifu kama hii!!
Hizo ni ndoto za mwendawazimu,hawa wezi hawawezi kujiunga CDM nani atawapokea?na wataanzia wapi?hivi mnafikiri CDM ni chama cha kina Slaa?CDM inatumia nguvu zetu wananchi,bila wananchi hakiwezi kudumumu.
ccm wana propaganda za ktoto sana
haiweztokea CDM wakawapokea MAFSAD
Hilo likitokea hasira zangu zote nitazihamishia kwa SLAH na MBOWE.
Likitokea hilo utakuwa unafki mkubwa sana kwani CHADEMA ndiyo kimewafikisha hawa jamaa kwenye kutolewa kwao kama magamba.
Itaonekana wahuni wanachukiwa tu pale wanapokuwa nje ya CHADEMA.
Hawa wahuni hata watubu mara milioni sitawasamehe.
Naamini CDM inaongozwa na watu makini so this cannot be possible.Ila inasemekana kwamba CCM na CDM ni watoto wa baba mmoja and they have the same agenda.Kama hii ni kweli, than it is possible.
AKIBA YA MANENO KWENYE SIASA NI MUHIMU SANAChadema haiitaji mafisadi na haiwezi kutenda kosa kubwa la kupokea mafisadi kwani viongozi wake ni wasikivu. Chadema hakiwezi kuwafichua wezi halafu kiwakumbatie.
Nashukuru Mungu kwa kuleta kumbukumbu hii mubashara.AKIBA YA MANENO KWENYE SIASA NI MUHIMU SANA
Mkuu ni kwa mara ya kwanza nimekutana na mwanaJF mwenye kusimamia kauli yake hasa kwenye suala hili.....Hongera sabaNashukuru Mungu kwa kuleta kumbukumbu hii mubashara.
Kwangu Lowassa ni yuleyule tu.Ufisadi wake hautakasiki kwa kuhamia CHADEMA. Kwa mujibu wa hiyo nukuu yangu dokta Slaa simlaumu.
Ukweli hauhitaji akiba ya maneno.
Kuna tetesi kuwa baada ya kupewa barua zao Lowasa, Rostam na Chenge watapokelewa CHADEMA. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii, huu si utakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo?
mmmhSi waanzishe chama chao!! Wasije huku, pesA za c**fu hatuzitaki.