MATATA2011
Member
- Dec 11, 2011
- 20
- 2
Magari ya M4C ndio yanazunguka Moro mjini yakitangaza utaratibu mzima, M Kiti Mbowe, Katibu Dr Silaa na wabunge wengi watakuwepo.
2wekane sawa mkuu Mbowe cyuko USA kwa hyo 2moro atakuepo 2juze mkuuMagari ya M4C ndio yanazunguka Moro mjini yakitangaza utaratibu mzima, M Kiti Mbowe, Katibu Dr Silaa na wabunge wengi watakuwepo.
Duhh hii sijawahi kuona. Heri watuletee matumaini. Tumekata tamaa kabisa.
Bado sasa waje TABORA maana huku kuna Kichwa Ngumu.
Igunga walipata shule na wameshabadilika na sasa nina imani ndiyo itakuwa zaidi.
Wameshaamini kuwa WANAWEZA KUISHI BILA CCM.
SIKONGE inaita, SIKONGE inaita, M4C mpo wapi?
Hakika Mbowe atakuwepo Morogoro, pasina shaka yeyote. Na helikopta itatinga Moro kuwasalimia wajukuu wa Chief Kingalu. Kumbuka Mtoto wa Kingalu alivyonyanyaswa na vijana wa TANU. Huu Mkutano utarudisha heshima ya Chief Patric Kunambi (RIP). Morogoro inakomboka sasa.2wekane sawa mkuu Mbowe cyuko USA kwa hyo 2moro atakuepo 2juze mkuu
Usiwe na shaka, niko front kinoma. Liwalo na Liwe.hakuna ugonjwa na kosa kubwa kama kukata tamaa pigana kwa kiasi na wajibu wako utakapoishia wengine wataendeleza wazee wetu walipigana na wakoloni wao wakitumia mawe mikuki na mishale wakoloni wakituimia bunduki na zana nzuri zaidi lakini hawakukata tamaa ndio maana tukapata uhuru wa kwanza sasa huu wa pili wa kumuondoa mkoloni katili zaidi CCM usikate tamaa pambana kitaeleweka tuu!!
Tunawawahi kable ya kuboresha daftari la kupiga kura. Lazima CCM wapegwe bao la kisigino.Dah, kiukweli kama madabiriko ndio yanakuja baasi neema hii njiani kuwajia wa Tanzania wenzangu, maana me huwa najiuliza kila baada ya chaguzi kwanini watu waamekuwa wanafiki maana kwenye vikao vya kampeni wanajaa hadi unaogopa lakini kwenye kura kiduchu je hawa watu hawana sifa za kupiga kura au ndio wanatunafikia wengine tulio kweli.
Hizo bunduki kama kweli zipo hawawezi kizitumia Moro, Maana watakuwa ni majambazi tu. na unajua majambazi hufanywa nini. Afadhali hata Mabwegamba.Watu wanaweza wasitokee wengi maana wanaogopa kupigwa risasi na bunduki ambayo haijasajiliwa.
Hizo bunduki kama kweli zipo hawawezi kizitumia Moro, Maana watakuwa ni majambazi tu. na unajua majambazi hufanywa nini. Afadhali hata Mabwegamba.