Ngoja niende kutafuta vikao sasa vilipo nitawajuaza yanayojiri....maana sisi ndio wadau wa Moro! au kama kuna mwenye taarifa kwasasa wapo wapi ili nisiunguze mafuta.
Kwa sasa wanamalizia hapa maeneo ya Kolla B,wakitoka hapa wataenda Kichangani na kola,ila team za makamanda zimetawanyika katika maeneo mbalimbali,so mwenye kujua kuhusu maeneo mengine atujuze
mpotezee huyo si level yako.Hao ni wale waliovimbiwa dawa yao iko jikoni.Usijadiliane na mtu asiyejuwa mjadala ni wastage of time.Mpotezee dada-shemeji.
mpotezee huyo si level yako.Hao ni wale waliovimbiwa dawa yao iko jikoni.Usijadiliane na mtu asiyejuwa mjadala ni wastage of time.Mpotezee dada-shemeji.
Thanks mkuu. Dah, wako mbali kweli, ndo napoteza muda kujibishana na wehu!
Haya bwana, ngoja tuanzishe biashara ya kushonesha kulee na Kongosho. Namuombea ruhusa kabisaa, tunataka kwenda China na sie tutoke kimtindo.
sorry makamanda nimeshindwa kuwaletea picha kwa kuwa nilikuwa busy mno ,,,kwa ufupi kwenye kata ya Kilakala mambo yameenda vizuri tulikuwa na Makamu mwenyekiti Taifa..... Mambo yameenda sawa na tunatarajia mkutano wa hitimisho utafanyika jumatatu alasiri