Saanane acha uongo kimsingi cdm imeshapotezwa na zzk. Mmebaki kudandia hoja tu kwa mbeleko ya ukawa.
Huna jipya zaidi ya kuwa shabiki maandazi! Zitto ndiye mdudu gani? Njoo kwetu magu uone huyo mdudu asivyo na umaarufu hata kidogo,alishasahaulika kitambo na sasa CDM/ukawa ndiyo habari ya mujini