Simon majura
Member
- Nov 27, 2014
- 7
- 0
Kama mbowe yuko bize selikari yako ya ccm huioni inafanya ujambazi kwa pesa umma fanya ubadilike na wewe yawezekana na mwizi.
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
labda kama uko kibororoninipo kijiji kabisa uru hakuna anayezungumzia ccm hata kikongwe ni cdm/ukawa pekee
Nipo kijiji kabisa uru hakuna anayezungumzia ccm hata kikongwe ni CDM/UKAWA pekee
Wakati katibu mkuu wa chama cha mafisadi (ccm) akifanya ziara na kuleta uhai wa chama ili kishiriki katika chaguzi za serikali za mitaa hapo mwishoni mwa mwaka CDM chenyewe kimesinzia kama si kulala usingizi wa pono haiwezekani chama kinafanya mikutano yao Dar es salaam na Arusha ambako kimsingi watu wameshazinduka, ni kwanini juhudi hizo zisielekezwe vijijini ambako ndo kuna wapiga kura wengi, sasa hivi chama kimekalia serikali tatu ambazo kimsingi haziwezi kusaidia kubadilisha matokeo serikali za mitaa, Madhara ya Kinana mtayaona hapo october kwenye uchaguzi serikali za mitaa endeleeni kulala.