Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
Ben saa8 uchaguzi wa BAVICHA ni lini??