Safari hii watapewa, kinachotakiwa ni wananchi kupiga kura nyingi kwa Cdm mpaka wezi wa kura waone aibuKwa mtazamo wangu, CDM walishinda 2010, 2015 na 2020..... Ila hawakupewa nchi. Tatizo siyo kushinda bali kupewa nchi.... Same as Zanzibar.
Rais wa JMT anachanguliwa na raia wa kawaida au na Deep state?Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.
Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.
Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.
CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Who is deep state ?Rais wa JMT anachanguliwa na raia wa kawaida au na Deep state?
Baadhi ya viongozi wastaafu ambao wamewahi kulitumikia hili taifa serikalini na kwenye taasisi kadha wa kadha.Who is deep state ?
CCM wepesi mno...Kama Uwanja ukiwa sawa...Tena Uraisi ndiyo kabisaaaa...ni wepesi mno zaidi ya karatasi...Ndoto za alinacha
Unawaamini sana CCM !??Hawana jipya Mkuu....Ndoto si kosa kwa mujibu wa Sheria
Unawaamini sana CCM !??Hawana jipya Mkuu....
CCM wepesi mno...Kama Uwanja ukiwa sawa...Tena Uraisi ndiyo kabisaaaa...ni wepesi mno zaidi ya karatasi...
Okau kwani Tume ya uchaguzi itakuwa ile ya Kenya BBI?Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.
Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.
Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.
CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Wanaanzaga hivi hivi na huw azinatimia🤣🤣Hawa watu wanajinasibu waotaji hawa ni watu wa kua nao makini sana
Na kwa ccm itakuwa hivyo.Kote vyama tawala vilipotolewa uwanja haukuwa automatically sawa bali walipigania ukawa sawa
Bakubaliana na wewe kuwa Hayati aliharibu zaidi kiasi kwamba Hata CCM hawajiamini tena. Wanaamini kwa nguvu ya polisi na vyombo vileee.Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.
Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.
Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.
CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Mkuu mzyond , kiukweli, kuota ndoto za matumaini hewa ya mchana kweupe, rukhsa.Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.
Usikute hao wasiomkubali Mama Samia, ni wale ambao, hawajiandikishagi kupiga kura, na wakijiandikisha ili tuu kupata kitambulisho, huwa hawapigi kura!.Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.
Chadema ipi hiyo unayoizungumzia ya kuiondoa CCM?.CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Ninakubaliana nawe, na sikubaliani nawe.Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.
Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.
Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.
CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Unaota mkuu.Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.