CHADEMA kushinda Chalinze

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
259
Reaction score
78
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
 
ukiangalia uwingi wa wamasai tu bado utaonekana hujafanya tathmini ya kina coz ktk jimbo hilo kuna wakwere na wazaramo kibao so rudi ukafanye tathmini upya!
 
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
Issue ni je,?? Wana shahada za kupiga kura?? Shida kuu ni mashabiki wasio na shahada.
 
Kama humfahamu mathayo subili kesho utamjua2
 
Itakua miujiza,mimi ni CHADEMA Lakini kwa hapo nahisi hata management ya CHADEMA Imeliona hilo ndio maana haijatumia nguvu nyingi za Kipesa kwenye kampaini kama ilivyokuwa KALENGA,walichokifanya ni kuonyesha chama kina uhai na kama marketing tools ya kukitangaza chama eneo hilo ambalo dorminant wake ni MACCM
 
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
Kwani unadhani kesho kuna uchaguzi Chalinze?!, no way, kesho hakuna uchaguzi Chalinze, kesho kunafanyika zoezi tuu la udhibitisho wa mbunge mpya wa Chalinze!.

Laiti ungalijua wenyewe wenye Chalinze yao ni kina nani!.
Laiti ungelijua Wamasai huwa wanaiandikisha kupiga kura ili tuu kupata kitambulisho cha kupigia kura, lakini kura huwa hawapigi na sio Chalinze tuu, hadi kwao wenyewe!, ndio maana hata jiji lao, siku zote, wabunge wao ni wale jirani zao, na ndio wapiga kura wakuu pale kwao!.
Pasco
 
70% ya wamasai kumuunga mkono si hoja, hoja ina wakazi wangapi? Idadi ya wamasai ni asilimia ngapi maana unaweza kuwa na wamasai 2000 jimbo zima, asilimia 70 ya hao ni 1400. Mleta maada dadavua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…