Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,809
- 218,463
Kujiondoa ccm bila kujali kunyang'anywa mashamba , bila kujali kuonyeshwa bastola , bila kujali vitu vyenye ncha kali wala watu wasiojulikana huo ni UKAMANDA HALISI .Kamanda Nyalandu atakuwa laivu, bila kusahau kamanda Sumaye!!
This is pure comedy witj all of its splendors!
Mungu ibariki Chadema .Yarushwe watanzani waone ukweli wa mambo
Mungu ibariki Chadema .
Kabisa mkuu , watanzania wanahitaji hotuba zenye matumaini , wamechoka na hotuba za mikwara na zilizojaa ukatili.Afadhali tuone makamanda wetu wanasemaje live, tumechoka kumuona live Jaramogi
Kwahiyo Chadema mmekuwa wa level ya " KATA" kweli?!!!...... Nimeamini CCM inatisha!!Kumekucha ! Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinautafakari ushauri wa magwiji wa siasa nchini wa kurusha moja kwa moja mikutano yake ya kampeni za udiwani nchi nzima , hasa mikutano inayohutubiwa na viongozi wa kitaifa .
Ushauri huu umeletwa baada ya viongozi wakuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama , Mh Freeman Mbowe kufungua kampeni kali sana kwenye kata ya Saranga Jimbo la Ubungo , Taarifa za magwiji wa siasa zinatanabaisha kwamba maneno mazito yaliyosemwa na Mh Mbowe kwenye mkutano huo wa kampeni , si ya hadhi ya Kata wala jimbo , ni hotuba kali iliyojaa ukweli mtupu yenye hadhi ya KITAIFA , taarifa zinasema hotuba kali kama ile kuishia Kimara pekee ni sawa na kuwanyima haki ya kupata taarifa Watanzania wengine nchi nzima .
Ni matumaini yangu ushauri wa magwiji wa siasa utafanyiwa kazi haraka .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Nakala kwa Molemo na Mwanahabari Huru .
Hotuba zinaleta maendeleo?!!Kabisa mkuu , watanzania wanahitaji hotuba zenye matumaini , wamechoka na hotuba za mikwara na zilizojaa ukatili.
Malofa katika ubora wenu.Kumekucha ! Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinautafakari ushauri wa magwiji wa siasa nchini wa kurusha moja kwa moja mikutano yake ya kampeni za udiwani nchi nzima , hasa mikutano inayohutubiwa na viongozi wa kitaifa .
Ushauri huu umeletwa baada ya viongozi wakuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama , Mh Freeman Mbowe kufungua kampeni kali sana kwenye kata ya Saranga Jimbo la Ubungo , Taarifa za magwiji wa siasa zinatanabaisha kwamba maneno mazito yaliyosemwa na Mh Mbowe kwenye mkutano huo wa kampeni , si ya hadhi ya Kata wala jimbo , ni hotuba kali iliyojaa ukweli mtupu yenye hadhi ya KITAIFA , taarifa zinasema hotuba kali kama ile kuishia Kimara pekee ni sawa na kuwanyima haki ya kupata taarifa Watanzania wengine nchi nzima .
Ni matumaini yangu ushauri wa magwiji wa siasa utafanyiwa kazi haraka .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Nakala kwa Molemo na Mwanahabari Huru .
Sawa waje Azam tv walipie. Au la warushe kwa Youtube na media zingine ndogondogo, tuna uhakika kuwa vijijini wataonaKumekucha ! Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinautafakari ushauri wa magwiji wa siasa nchini wa kurusha moja kwa moja mikutano yake ya kampeni za udiwani nchi nzima , hasa mikutano inayohutubiwa na viongozi wa kitaifa .
Ushauri huu umeletwa baada ya viongozi wakuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama , Mh Freeman Mbowe kufungua kampeni kali sana kwenye kata ya Saranga Jimbo la Ubungo , Taarifa za magwiji wa siasa zinatanabaisha kwamba maneno mazito yaliyosemwa na Mh Mbowe kwenye mkutano huo wa kampeni , si ya hadhi ya Kata wala jimbo , ni hotuba kali iliyojaa ukweli mtupu yenye hadhi ya KITAIFA , taarifa zinasema hotuba kali kama ile kuishia Kimara pekee ni sawa na kuwanyima haki ya kupata taarifa Watanzania wengine nchi nzima .
Ni matumaini yangu ushauri wa magwiji wa siasa utafanyiwa kazi haraka .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Nakala kwa Molemo na Mwanahabari Huru .
Ha ha ha ha mara hii Nyalandu ameshakuwa Kamanda! Sio mshika makalio ya wanawake tena!!? Ama kweli kuwakubali machadema lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu!!Kamanda Nyalandu atakuwa laivu, bila kusahau kamanda Sumaye!!
This is pure comedy witj all of its splendors!
Hufananii hii comment Mkuu, wewe ni zaidi ya hivi, haya waachie kina cocochanelKamanda Nyalandu atakuwa laivu, bila kusahau kamanda Sumaye!!
This is pure comedy witj all of its splendors!
Mpuuzi weweHiyo pesa ingetumika kwenye matibabu ya Mh lisu