Tetesi: CHADEMA kurusha live mikutano ya kampeni za uchaguzi wa madiwani

Ha ha ha ha mara hii Nyalandu ameshakuwa Kamanda! Sio mshika makalio ya wanawake tena!!? Ama kweli kuwakubali machadema lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu!!
Dah, wewe ndo mwendawazimu, Nyalandu na Msando wapi na wapi?
 
Kwani wewe ndiyo unamiliki baraka za Mungu? Au kwa kuwa ni malaika wa mungu wenu basi unadhani mnavyozuia mikutano ya CHADEMA ndiyo mtaweza pia kuzuia na baraka kwa CHADEMA toka kwa Mungu aliye hai?
Chadema ya dj toka abadili gia angani haijawahi barikiwa na Mungu bali mungu, huu ndo ukweli, unaweza ukapindisha uweke "ukweli" wako.
 
Back
Top Bottom