Tetesi: CHADEMA kurusha live mikutano ya kampeni za uchaguzi wa madiwani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,490
215,332
Kumekucha ! Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinautafakari ushauri wa magwiji wa siasa nchini wa kurusha moja kwa moja mikutano yake ya kampeni za udiwani nchi nzima , hasa mikutano inayohutubiwa na viongozi wa kitaifa .

Ushauri huu umeletwa baada ya viongozi wakuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama , Mh Freeman Mbowe kufungua kampeni kali sana kwenye kata ya Saranga Jimbo la Ubungo , Taarifa za magwiji wa siasa zinatanabaisha kwamba maneno mazito yaliyosemwa na Mh Mbowe kwenye mkutano huo wa kampeni , si ya hadhi ya Kata wala jimbo , ni hotuba kali iliyojaa ukweli mtupu yenye hadhi ya KITAIFA , taarifa zinasema hotuba kali kama ile kuishia Kimara pekee ni sawa na kuwanyima haki ya kupata taarifa Watanzania wengine nchi nzima .

Ni matumaini yangu ushauri wa magwiji wa siasa utafanyiwa kazi haraka .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

Nakala kwa Molemo na Mwanahabari Huru .
 
Kwahiyo Chadema mmekuwa wa level ya " KATA" kweli?!!!...... Nimeamini CCM inatisha!!
 
Malofa katika ubora wenu.
 
Sawa waje Azam tv walipie. Au la warushe kwa Youtube na media zingine ndogondogo, tuna uhakika kuwa vijijini wataona
 
Kamanda Nyalandu atakuwa laivu, bila kusahau kamanda Sumaye!!
This is pure comedy witj all of its splendors!
Ha ha ha ha mara hii Nyalandu ameshakuwa Kamanda! Sio mshika makalio ya wanawake tena!!? Ama kweli kuwakubali machadema lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom