namuonea huruma sana... asijali, aje CCM tutampokea, huwa tuna tendency ya kuwarudisha nyumbani wana wapotevuDuh...sasa yule mwalimu kashindye ataenda wapi baada ya kushindwa...
Kama wataipa ccm au cuf KWA SABABU HIYO basi to Hell....waipe!
Nasikia kuna mwanamuziki alipata kuimba juu ya mtu aliyetema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa!
Kama Hoja inayobuniwa overnight na wanapropaganda inaweza kumfanya mtu abadili uamuzi utakaomcost kwa miaka 5, basi ujue hakuna dawa kwa mtu huyo, na hata angekupa kura, basi ujue ingeleta shida baadaye!
Hivi IPUMBULYA ni wapi NA MAANA YAKE NINI?
Wape hongera zao ila Chadema itadumu bila ya hao. ila mbele ya safari watajua kufikiri kwa kutumia akili.
Bwahhahaaaaaaaaaaaaaaa:majani7: duh! hii inaitwa sizitaki mbichi hiziKama wataipa ccm au cuf KWA SABABU HIYO basi to Hell....waipe!
hakuna hijab inayoonyesha maumbile ya mwanamke, kama gauni ya mikono mifupi, kuonyesha sehemu ya kifua na kuvaa gauni na sehemu za miguu ya mwanamke zikionekana.
Hivi IPUMBULYA ni wapi NA MAANA YAKE NINI?
Zitto Kafanya nini Kigoma? the guy is bright but hana msimamo!Dr. Willibrord Slaa
Kauli ya Zitto kwa wana Igunga;Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.
Mwenye msimammo ni Bashe aliyesema CCM itapoteza uongozi mwaka 2015?Zitto Kafanya nini Kigoma? the guy is bright but hana msimamo!
Mtajipa moyo sana, mtatumia hila, vitisho, udini, bunduki, ukabila, kutembea na wake za watu, wizi wa kura nk, lakini ukweli utabaki pale pale, CCM ni chama kilichozeeka, chama kisicho na jipya na watanzania wamekichoka na siku si nyingi watakivua magamba.Bwahhahaaaaaaaaaaaaaaa:majani7: duh! hii inaitwa sizitaki mbichi hizi