Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2.
Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same. Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya
hayo.