CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2.

Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same. Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya
hayo.

attachment.php
 
Attachments

  • igunga.jpg
    igunga.jpg
    68.4 KB · Views: 1,521
Kama wataipa ccm au cuf KWA SABABU HIYO basi to Hell....waipe!
Nasikia kuna mwanamuziki alipata kuimba juu ya mtu aliyetema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa!
Kama Hoja inayobuniwa overnight na wanapropaganda inaweza kumfanya mtu abadili uamuzi utakaomcost kwa miaka 5, basi ujue hakuna dawa kwa mtu huyo, na hata angekupa kura, basi ujue ingeleta shida baadaye!
Hivi IPUMBULYA ni wapi NA MAANA YAKE NINI?
 
Mkuu PJ umenichekesha sana kwa hiyo sentensi ya mwisho.
Kwa kilugha chetu sisi (siyo Igunga) inamaanisha Upumbavu......ila lugha za watz si unajua asili yake ni kibantu ambacho maneno mengi huwa yanafananafanana na huwa na maana sawa.../..
 
hakuna hijab inayoonyesha maumbile ya mwanamke, kama gauni ya mikono mifupi, kuonyesha sehemu ya kifua na kuvaa gauni na sehemu za miguu ya mwanamke zikionekana.
 
Dr. Willibrord Slaa
Kauli ya Zitto kwa wana Igunga;Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.
 
Hao wanawake na wenyewe watakuwa wajinga! Najua pale wanashabikia ili wapate khanga na T-shirt
 
hakuna hijab inayoonyesha maumbile ya mwanamke, kama gauni ya mikono mifupi, kuonyesha sehemu ya kifua na kuvaa gauni na sehemu za miguu ya mwanamke zikionekana.

Fatuma Joseph Kimaro ni Mkristu Mkatoliki, mumewe pia ni mkristu tena anafuga kitimoto pale Mwenge na ni Supplier mkubwa sana wa kitimoto kwa maeneo ya Mwenge....uliza bar za maeneo ya Mlimani City hadi kule Migombani Survey.
Afterall alivaa ushungi kama vazi la kawaida tu.
Ushungi huo aliuvua yeye mwenyewe.
 
Walishafisadiwa akili zao...si mbunge wao kupitia CCM alikuwa fisadi No.1? Unategemea nini kwa watu waliokandamizwa miaka yote hiyo? Hata mtumwa, ukitaka kumboa mara nyingine hukataa ili abaki kwa bwana wake maana maisha ya uhuru anakuwa hajayazoea ati.
Ila ndugu waislamu mnanishangaza sana, CCM iliwatapeli mahakama ya kadhi 2005, lakini bado mnaishikilia! Kweli mtuwa ni mtumwa tu....hata fikrfa nazo ziko kitumwa tu!
 
Dr. Willibrord Slaa
Kauli ya Zitto kwa wana Igunga;Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.
Zitto Kafanya nini Kigoma? the guy is bright but hana msimamo!
 
hivi na hao 'wananchi' upande wa kulia mwa picha watampa au watamnyima!?

By the way, ni juu ya watu wanaoishi kwa wakati huo wenye kuweza kufanya historia! Sana sana Lipumba, James Mapalala, Edwin Mtei, Chifu Fundikila, Dr. Slaa, Zitto Kabwe, Kafulila nk watakuwa wanakumbukwa na historia ya Tanzania kuwa waliwaeleza wananchi usiku na mchana lakini hawakusikia na kwa vile ni vigumu kuwa na jeshi la mtu mmoja na wao hawakuweza kuendelea na hiyo 'vita' lakini walijitahidi kufikisha ujumbe.

Kwani kuna baadhi ya wawakilishi wa majimbo ambayo mtu unaona hata aibu kusema natokea kwenye watu waliomchagua huyo mtu kufuatana na kutostahili kwake lakini haya yote yametokea hapahapa TZ.

Tuwaachie wana Igunga wafanye uchaguzi wao na historia itawasoma hivyo!
 
Zitto Kafanya nini Kigoma? the guy is bright but hana msimamo!
Mwenye msimammo ni Bashe aliyesema CCM itapoteza uongozi mwaka 2015?
Kwani Wassira, Kawambwa, Jenista Mhagama, Stella Manyanya, Ole Sendeka, Sitta, Januari, Shelukindo, Mwakyusa, Mwakyembe na wengineo wamefanya nini kwenye maeneo yao? Ondoa upopo wako
 
Bwahhahaaaaaaaaaaaaaaa:majani7: duh! hii inaitwa sizitaki mbichi hizi
Mtajipa moyo sana, mtatumia hila, vitisho, udini, bunduki, ukabila, kutembea na wake za watu, wizi wa kura nk, lakini ukweli utabaki pale pale, CCM ni chama kilichozeeka, chama kisicho na jipya na watanzania wamekichoka na siku si nyingi watakivua magamba.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom