CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

Kama hoja Yao ya msingi ndio hiyo na wafanye hivyo,Chadema hatutaki udini kwenye masuala yanayowahusu Watanzania wote.Kesi ipo mahakamani wao(wamama wa ccm Wa kiislam)wanauhukumu Chadema!?Kwa style hii ya mbegu ya udini ni bora kulichagua jiwe liongoze.
 
Mwenye msimammo ni Bashe aliyesema CCM itapoteza uongozi mwaka 2015?
Kwani Wassira, Kawambwa, Jenista Mhagama, Stella Manyanya, Ole Sendeka, Sitta, Januari, Shelukindo, Mwakyusa, Mwakyembe na wengineo wamefanya nini kwenye maeneo yao? Ondoa upopo wako
Hao uliowataja umewasikia wapi wakiropoka ropoka na kujisifia kwenye majukwaa?
kama hawajafanya chochote wanakaa kimya! Huna sababu ya kumnyooshea kidole mwenzako wakati wewe hujafanya lolote.
 
Msiumize kichwa sana kuchangia thread zinazoletwa na Magamba. Sitegemei hata sikumoja kwamba hili gamba salimia litakuja humu na kitu chenye akili. Wamezoea kudanganywa sasa wanataka wadanganye na wengine.
Angalia ITV mikutano ya CDM ndipo utakapoacha kuleta ubemendwa wako humu.
 
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

Si mbaya kuwafariji ambao hawajafika Igunga lakini tarehe 2 ndio mwamuzi pekee, habari ya Fatuma kwa wasukuma wala haina mshiko na wao wanaangalia jinsi walivyoteseka miaka 18 ya uongozi wa RA chini ya Chama Magamba
 
Msiumize kichwa sana kuchangia thread zinazoletwa na Magamba. Sitegemei hata sikumoja kwamba hili gamba salimia litakuja humu na kitu chenye akili. Wamezoea kudanganywa sasa wanataka wadanganye na wengine.
Angalia ITV mikutano ya CDM ndipo utakapoacha kuleta ubemendwa wako humu.
Wee chundu kwelikweli,, unawaambia wenzio wasichangie halafu wewe mwenyewe unachangia,, akili ya wapi hii??
 
du, CCM wana vituko jamani! ni nani huyo alikuwa anatoa burudani? kama sikosei ni dokii anakata mauno.... mkutano umejaa watoto na wamama waliogaiwa nguo za CCM, wanashusia na burudani. wakitoka hapo na buku 2 zao mkononi haoooo kimya wanasubiri tarehe 2 wamchague mwalimu wa ukweli ndio mjue kwamba watu wapo serious na maisha yao, hawadanganyiki tena
 
waislamu wapo radhi kula nguruwe kuliko kumchagua kashindye hapo chuki ya udini ilishapandikizwa na ccm. Hao kinamama wafuate maneno ya zito kabwe sio za udini za kina mwigulu
 
Tunalaani udhalilishaji kwakuwa haumnufaishi yoyote.

Dhambi ni dhambi ovu, lisilo halali haliwezi kuhalalishwa kwa namna yoyote ile wala kwa ufundi wowote ule.

Kama nilivyosema mwanzo la kuvunda halina ubani, tendo ovu waliofanya Makada wa CDM dhidi ya DC wa Igunga Fatuma Kimalio litabaki kuwa jinai tu.
Hata kama watetezi watasema maneno milioni ya kuhalalisha.
Kwa ili wanawake wa Igunga wameikataa CDM
 
waislamu wapo radhi kula nguruwe kuliko kumchagua kashindye hapo chuki ya udini ilishapandikizwa na ccm. Hao kinamama wafuate maneno ya zito kabwe sio za udini za kina mwigulu
Wewe kweli mjanja,, umesoma alama za nyakati................waambie ukweli CDM ili wazifanyie kazi kasoro walizojisababishia. Wamelikoroga big time
 
Tunalaani udhalilishaji kwakuwa haumnufaishi yoyote.

Dhambi ni dhambi hovu, lisilo halali haliwezi kuhalalishwa kwa namna yoyote ile wala kwa ufundi wowote ule.

Kama nilivyosema mwanzo la kuvunda halina ubani, tendo hovu waliofanya Makada wa CDM dhidi ya DC wa Igunga Fatuma Kimalio litabaki kuwa jinai tu.
Hata kama watetezi watasema maneno milioni ya kuhalalisha.
Kwa ili wanawake wa Igunga wameikataa CDM

Kwenye nyekundu sijakuelewa.
 
Hata ''mbunge'' wa UPDP mzee wa very problem alijikusanyia watu wengi jana na inafahamika watu walikwenda kushuhudia masebene.

Vivyo hivyo ukiangalia hiyo picha utaona kwamba hao akina mama pamoja na hao watoto walikwenda kupokea tshirts na buku 2 kisha wanaendelea na maisha yao.

Wanajua kwamba wasipowaambia ccm wamechukizwa na kitendo cha dc kuvuliwa mtandio wanajua hawatopata chochote kitu.
 
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.
mimi ningekusahihisha kidogo...ungesema 'CDM kupoteza kura za vijana na akina mama wa kiislam'....! lakini hata hilo lina walakini kwa sababu mara nyingi mbinu hizi za kidini huwa zina backfire.
Halafu kama wakiamua kuichagua CCM pamoja na uduni wa maisha yao ...it's fine.....tuwaache waendelee kuonja jehanamu yao hapa duniani!
 
Hapa wanashabikia CCM au muziki?............hao watoto wanasoma saa ngapi?

attachment.php

Ngoja nivae miwani! Naona watoto wa shule wapo wa kutosha. Je wamejiandikisha kupiga kura?
 
Tunalaani udhalilishaji kwakuwa haumnufaishi yoyote.

Dhambi ni dhambi hovu, lisilo halali haliwezi kuhalalishwa kwa namna yoyote ile wala kwa ufundi wowote ule.

Kama nilivyosema mwanzo la kuvunda halina ubani, tendo hovu waliofanya Makada wa CDM dhidi ya DC wa Igunga Fatuma Kimalio litabaki kuwa jinai tu.
Hata kama watetezi watasema maneno milioni ya kuhalalisha.
Kwa ili wanawake wa Igunga wameikataa CDM

kwa porojo za udini kweli wewe kinara, ila najua we kiraza kwa kuwa wajua Fatma ni Mkristo na Mumewe hufuga Nguruwe pale Mwenge sasa wewe washikiria Udin kama chama chako.
 
Tunalaani udhalilishaji kwakuwa haumnufaishi yoyote.

Dhambi ni dhambi hovu, lisilo halali haliwezi kuhalalishwa kwa namna yoyote ile wala kwa ufundi wowote ule.

Kama nilivyosema mwanzo la kuvunda halina ubani, tendo hovu waliofanya Makada wa CDM dhidi ya DC wa Igunga Fatuma Kimalio litabaki kuwa jinai tu.
Hata kama watetezi watasema maneno milioni ya kuhalalisha.
Kwa ili wanawake wa Igunga wameikataa CDM

kesi itaamuliwa mahakamani tusubiri
hivi yule DC ni dini gani???
 
kama LILE ALILOVAA DC ni hijab basi hao waislam wasiipigie kura CDM waipigie CCM
 
Kumbe watoto nao ni wapiga kura siku hizi basi CCM WASHASHINDA lakini hicho ni kinyume chake. Kuhubiri UDINI sio ujanja na huyo anaeitwa msajili wa vyama na tume wako kimya.
 
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa walikuwa na kikao cha pamoja na kuazimia kuitosa CDM. Na pia kwa kumvua Hijabu yule mama ikiwa ni kinyume kabisa na dini ya Kiislamu, mashehe na waumini wote wa dini hiyo wamesema jana kwamba CDM inastahili adhabu na adhabu hiyo wataipata tarehe 2. Sheikh Mwinyiusi Mpugusi alisistiza kwamba si adhabu bali ni ADHABA. Nao mtandao na ndugu wa kija aliyemwagiwa tindikali, nao wameazimia the same.
Watafiti wa masuala ya kisiasa kwa kuzingatia hayo wanaipa nafasi kubwa CCM, ikifuatiwa na CUF. Nadhani picha hii ina kaukweli ndani ya hayo.

CDM hawawezi shinda igunga , ingekuwa jimbo la Kilimanjaro sawa
 
Kuna wengine wala nguruwe hata kama hakuna uchaguzi! Kama kula Nguruwe ina-swih basi waache wale, wasimchague Kashindye lakini hawako peke yao; kwani wenzao hawatakula hiyo mboga, watamchagua Kashindye na bado wakabaki WAISLAMU wazuri tu
 
Back
Top Bottom