Chadema kupiga U- Turn No Reforms No Election?

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
CHADEMA-3.jpg

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rumeleza Nshala

Baada ya kukwepa kwenda kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi Aprili 12, 2025 jijini Dodoma, Chama hicho sasa kinasema haki ya kutia saini kanuni hizo bado ipo.

Kutosaini kanuni hizo kunatokana na msimamo wa Chadema kwa kutaka madiliko kabla ya kufanyika kwa uchaguzi kupitia kampeni yake ya No Reforms No Election.

Akizungumza baada ya vyama vya siasa vilivyosaini kanuni hizo, Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima alisema chama ambacho hakijasaini maadili hayo hakitaruhusiwa kusaini maadili hayo.

"Ukisoma kanuni namba 1 kanuni ndogo ya 5 ya kanuni za uchaguzi inasema, chama cha siasa ambacgo hakitasaini au mgombea ambaye hatasaini fomu namba 10, hatateuliwa kuwa mgombea, kwa hiyo cha siasa mbacho hakijasaini kanuni za maadili hakitaweza kusimamisha mgombea katika uchaguzi, kwa hiyo kama kunachama cha siasa mabacho hakijasaini, maana yake hakitashughulika na shughuli zozote za uchaguzi," alisisitiza Kailima.

Licha ya kauli hiyo, Kailima hakuzungumzia muda mwisho wa chama husika kusaini maadili hayo, jambo lililowaibua Chadema na kusema kuwa bado kikitaka kusaini maadili hayo, muda unawaruhusu.

Haki ya kikatiba
Soma>>INEC imefanya makosa
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 15, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rugemeleza Nshala amesema haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba.

“Msimgi mkuu wa kikatiba ni kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki. Kama uchaguzi huo unakiukwa basi uchaguzi unakuwa sio huru na wa haki.

“Kitu pekee ambayo Tume haiwezi kuhojiwa ni pale inapokuwa imetimiza matakwa ya Katiba, lakini pale inapokiuka vile Katiba inavyosema, basi matendo yake yanapingika na kuhojika,” amesema.

Akizungumzia sharia, ametaja kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, akisema kinaipa haki tume haki ya kuchapisha kanuni za uchaguzi, lakini haitoi haki ya kuzuia mtu yoyote yoyote yule au chama kushiriki uchaguzi. Sheria inadai kuwa kila chama kisaini.

Ametaja pia kifungu cha 1:3 cha Kanuni za maadili ya uchaguzi kinachosema, “Kanuni hizi za maadili zitatumika katika uchaguzi mkuu wa 2025 kuanzia siku moja baada ya uteuzi wa wagombea uchaguzi mkuu hadi baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi huo. Viulevile kanuni hizi zitatumika katika chaguzi ndogo.”

“Niambieni leo, nani kateuliwa kuwa mgombea? Kanuni hizi zinaanza kutumika? Bunge bado liko kazini, bado halijavunjwa kwa hiyo hata uteuzi wa wagombea ubunge haujafanyika,” amesema Dk Nshala.

Akirejea Katiba, Dk Nshala ameendelea kutaja sifa za mtu kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, katika ibara ya 39.-(1) akisema hakuna kifungu kinachotaka mtu huyo awe amesaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi.

Vivyo hivyo kwa sifa za mtu kuwa makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano katika ibara ya 47(4).

“Ni wapi wamesema ni lazima kusaini maadili?”

Ametaja pia ibara ya 67(1) 67(1) na 67(2) zinazotoa sifa za kuteuliwa kuwa wagombea ubunge na mambo yanayoweza kusababisha asigombee.

“Ni hoja yetu kwamba, kilichofanyika kimekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Haki ya kikatiba haiwezi kupokwa na kanuni zilizotungwa na tume ya uchaguzi.

“Tume imejielekeza vibaya, imefanya hivyo kwa nia ambayo si sahihi. Imekiuka maagizo ya Mahakama ya Rufaa katika kesi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wenzak wawili na Dk Amani Walidi Kaborou aliyekuwa Mbunge wa kwanza wa Chadema mwaka 1994,” amesema.

Amefafanua kuwa Mahakama ya Rufaa ilitoa mwongozo kwamba msingi wa uchaguzi unakuwa huru na wa haki. Kama msingi huo unakiukwa, Mahakama ilisema, hilo tu linatosha kufutilia mbali uchaguzi.

Akijibu swali la kwa nini Chadema inazungumzia haki ya kusaini kanuni wakati imeshaweka msimamo wa kutoshiriki, amesema msimamo uko pale pale ila amekosoa maelezo yaliyottolewa na Mkurugenzi wa INEC, Ramadhani Kailima akisema ni wa upotoshaji.
 
View attachment 3305362

Hamna Uturn hapo, reforms Zikiletwa na fasi ya kutia asahihi bado ipo ndo anacho maanisha.
 
Sijaona U Turn yoyote hapo zaidi nimeona ufafanuzi na kusahihisha upotoshaji wa yule kibwengo Kailima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom