CHADEMA kupeleka malalamiko yao UN na Jumuiya ya Kimataifa shambulio la risasi Mbunge Tundu Lissu

Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Mh. Freeman Mbowe amesema watapeleka malalamiko yao kuhusu kupigwa kwa Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki na watu wengine wanaopotea kwa UN na Jumuiya ya Kimataifa dhidi ya Serikali.
Zile kesi zao za ICC zimeishia wapi?
 
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Mh. Freeman Mbowe amesema watapeleka malalamiko yao kuhusu kupigwa kwa Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki na watu wengine wanaopotea kwa UN na Jumuiya ya Kimataifa dhidi ya Serikali.
Serikali haina shida, watumie ushauri wa Marandu T. L
 
Umenena vyema mkuu .....hta ripoti ya waliomshambulia LISU haijatoka mna kimbikia UN...wakati serikali ikimuhitaji dereva wa lisu ili ijiridhishe na upelelezi mnamficha....hakuna anayependa kilichotokea kwa lisu ila SUBIRA MUHIMU kwnz tusubiri majibu ya upelelezi wa POLICE....

Wakiambiwa dereva wa Lissu anahitajika ili atoe maelezo, wao ndiyo wanakuwa wa kwanza kumtetea na kumkingia kifua...hawa watu Mbowe amewafanya misukule kabisa.
 
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Mh. Freeman Mbowe amesema watapeleka malalamiko yao kuhusu kupigwa kwa Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki na watu wengine wanaopotea kwa UN na Jumuiya ya Kimataifa dhidi ya Serikali.

Kamanda: usimsahau na Chacha Wangwe. Na wale mapolisi waliouawa Sitakishari, na makatibu kata wa CCM waliouawa Kibiti Rufiji.
 
nonsense nonsense nonsense.
Not too far, we are too close to call.
just hold and check how things will be tested in blue flame.
The best answer to stupid people is to ignore them.
Pole, umeguswa!
 
Yaaani Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kimataifa iache kushughulikia mzozo wa Rohingya kule Myanmar, madhara ya vimbunga Irma na Maria, tishio la silaha za kinuklia za Korea Kaskazini, na majanga mengineyo, washughulishwe na uvamizi wa Lissu? Kweli Mbowe atawale chadema milele....
Pole sana na fikra zako mfu....mbona Zimbabwe kabanwa kwan Myanmar Korea kaskazini vimbunga sijui uchafu gani hayo mambo yalianza Leo subirini na nyny kubanwa Korea na Myanmar muda wa kutatua matatizo yao haujafika...
 
Yaaani Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kimataifa iache kushughulikia mzozo wa Rohingya kule Myanmar, madhara ya vimbunga Irma na Maria, tishio la silaha za kinuklia za Korea Kaskazini, na majanga mengineyo, washughulishwe na uvamizi wa Lissu? Kweli Mbowe atawale chadema milele....
Sijui una umri gani, lakini itoshe tu kukuambia Tanzania imekuwa na sifa duniani kama nchi iliyoongozwa na kuwa na misingi bora ya amani. popote Mtanzania alipokwenda alipata heshima kubwa kuwa anatoka Tanzania nchi ya amani haswa wakati wa Mwalimu na Mwinyi Umaoja wa mataifa unaifahamu Tanzania hivyo. Sasa Tanzania imekuwa ni ya vurugu, kupigana, kuumizana kwa silaha, kuuwana, kutekana na mambo kama hayo! Hakika mataifa mengine yenye Interest na Tanzania yataguswa kwa namna moja au nyingine, Yatachukua hatua. Hata wavuta bangi wakiona kuna mtu wanayemfahamu anaanza kujifunza kuvuta bangi huwa wanamkanya na kumyima asifanye hivyo. nina maana kuwa hata nchi ambazo zimeshapitia vurugu za kisiasa kama nchi jirani hazitapenda kuona tunakoelekea kwa sasa.!!!!!!!!
 
Wakae chini tujenge nchi, jirani hawezi kuja kukujengea nchi! Wasijidanganye!
Wazo zuri sana, wakae chini na nani? nani katika serikali hii ya sasa wanayeweza kukaa nae chini? kama hata maombi kwa kuwa yameratibiwa na chama cha upinzani hayafai kwa Taifa! hayafai zinatumwa defender kibao kufukuza waombaji badala ya kulinda waombaji, hicho kikao kinakaaje na mlinda amani katika kikao hicho atakuwa nani
 
Umenena vyema mkuu .....hta ripoti ya waliomshambulia LISU haijatoka mna kimbikia UN...wakati serikali ikimuhitaji dereva wa lisu ili ijiridhishe na upelelezi mnamficha....hakuna anayependa kilichotokea kwa lisu ila SUBIRA MUHIMU kwnz tusubiri majibu ya upelelezi wa POLICE....
Hiyo ripoti haitakaa itoke na ikitoka itakuwa Ni porojo na maigizo. Rejea ya ulimboka ,Kova na Mkenya aliyetokea kwa Gwajima !
 
Hiyo ripoti haitakaa itoke na ikitoka itakuwa Ni porojo na maigizo. Rejea ya ulimboka ,Kova na Mkenya aliyetokea kwa Gwajima !
Nakumbuka Askofu Gwajima na Muumin aliyekiri kwake....
 
Naomba tutafakari sana wimbo huu wa Taifa tunaomwita nao mungu. Tunachoomba kinatoka mioyoni mwetu? kwa nini tunakuwa hivi? Viongozi mnajielewa, halafu mara kwa mara wimbo huu unaimbwa mnapokuwepo. MUNGU HANA MAZOEA WALA UBIA NA MTU YEYOTE. kama aliweza kuangamiza Dunia kwa Garika kwa kuwa watu walimuudhi, Tanzania ni nini? BADILIKENI`!!!!!!!!
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha Uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu ibariki Tanzania na watu wake

Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania
 
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Mh. Freeman Mbowe amesema watapeleka malalamiko yao kuhusu kupigwa kwa Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki na watu wengine wanaopotea kwa UN na Jumuiya ya Kimataifa dhidi ya Serikali.

Wambie wafanye haraka, wao wa kizungu wanasubiria.
 
Sishangai maana kuna watu hapa baada ya uchaguzi walisubiri barua toka Ulaya kuzuia Jpm kuapishwa. Eti anakuja nayo Lissu.
 
Ni ujuha kutegemea UN wakusaidie....dunia ya leo kila mtu atapambana na hali yake.

Yule bibi anayewanyanyasa wa Rohingya alishwahi pewa tuzo na hizo jumuiya za kinafiki za kimataifa.
Hizi ndio kauli zitakazoiponza Tanzania ... siku watu watakapo amua kupambana na hali zao ...
 
Back
Top Bottom