mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,331
Umenena vyema mkuu .....hta ripoti ya waliomshambulia LISU haijatoka mna kimbikia UN...wakati serikali ikimuhitaji dereva wa lisu ili ijiridhishe na upelelezi mnamficha....hakuna anayependa kilichotokea kwa lisu ila SUBIRA MUHIMU kwnz tusubiri majibu ya upelelezi wa POLICE....Yaaani Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kimataifa iache kushughulikia mzozo wa Rohingya kule Myanmar, madhara ya vimbunga Irma na Maria, tishio la silaha za kinuklia za Korea Kaskazini, na majanga mengineyo, washughulishwe na uvamizi wa Lissu? Kweli Mbowe atawale chadema milele....