CHADEMA kupata majimbo mapya mengi zaidi ila itapoteza machache ya sasa

Aige ukerewe na Musoma mjini mbona wao wanafanya kazi za Taifa na JiMboni ?

Sasa NewVision umeenda mbali mgekuwa mnawadai maendeleo kiasi hicho wabunge wa CCM ambao wengine wamekaa zaidi ya miaka 20 na zaidi si mngekuwa mbali sana, sugu ana miaka mingapi mpaka umshutumu kiasi kile, hizo barabra mmekuwa nazo hivyo kwa mda gani? Hao ma RC na wakurugenzi dyanamic si ndo walio ibua vurugu na machinga Sugu akatuliza? Wewe si chadema umedandia mjadala go to hell, Sugu sisi tunamkubali!
 
Usemayo i kweli tumewatuma kufanya yote ya kitaifa na ya kwetu majimboni. Naishi Mbeya (jiji) barabara hazipitiki na tunaambiwa Wachina watakuja zijenga lakini lini? Sugu atembelee Ituha, Isyesye, Uyole na sehemu nyingine hakuna badiliko lolote. Tunao RC Mkurugenzi dynamic lakini hataki kumtumia. We are just too patient but we can not wait too much kimbembe 2015 tutamwondoa tuweke mwingine

Newvision sasa umeenda mbali huko, mngekuwa mnawadai wabunge wa ccm ambao wamekuwa madarakani for time immemorial mngekuwa mbali sana kimaendeleo, kitendo chako cha kumnyooshea kidole sugu eti barabara hazina lami ni kutomtendea haki mmekuwa na hizo barabara toka uhuru, hao ma RC na Wakurgenzi dynamic si ndo walioibua vurugu na wamachinga sugu akatuliza? Sisi mbeya tunamkubali Sugu, kamwambie aliyekutuma Sugu tunamsajili tena 2015!
 
Back
Top Bottom