Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,333
- 7,486
Kwa kuwa Ndugai kaongea na wandishi wa habari, chadema nao wameita press conference.
Hahaa, yajayo yanafurahisha 😂😂
Tuna almost only two years kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa. Watu wanademka kwa midundo ya CCM. Wakija situka imetoka ikirudi pancha.
dah CCM wameshika remote wanabadirisha tu chanell na sisi tunademka balaa...mara paap 2025 hii ...
Mnaogopa nini MaCCM, mnajenga CCM kwa kuvunja katiba. Na mnataka CHADEMA wakae kimya, kweli.!Wadandia hoja wameitisha ki meeting chao uchwara
Tutapambana mpaka mwisho, kwa maslahi ya kuiilinda mihimili yote.
Alichofanya DHAIFU Ndugai AMEKABIZI Rasmi nguvu ya Bunge kwa Samia, ili kujenga CCM, ni kosa kubwa kikatiba. ni UHAINI.
CHADEMA wapo sahii lazima walikemee hili.
Ipo siku MaCCM mtajua umuhimu wa uwepo wa chadema nchi hii.
Tanganyika ilioparaganyika inaihiitaji CHADEMA.