Chadema kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

Autodidacts

JF-Expert Member
Jun 9, 2021
1,133
2,000
View attachment 2067226

Shughuli hii Muhimu sana itafanyika Kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , tarehe 4/1/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi .

Wote mnakaribishwa .

MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Tuelezwe alipo Rais mama Samia maana mmh...taarifa mbaya zikizidi ufafanuzi ni muhimu
 
Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
27,533
2,000
Mkuu umekaa sana Nje hadi yanayoendelea Tanzania huyajui , Ni Hivi , Magufuli kwa akili ambayo haifahamiki alikoitoa alivunja Jiji la DSM na aliamua kwamba Ilala Pekee ndio iwe jiji , kwamba Jiji liwe Chanika , Pugu kajiungeni , ukonga , Buguruni kwa Mnyamani na majirani zake , Oysterbay , Mbezi Beach , Kinondoni , Ubungo , Masaki , Temeke ziwe NJE YA JIJI .

Aliamua haya yote huku akipigiwa makofi na Mawaziri , wabunge na madiwani , sasa ili sisi wengine ili Tusifungwe jela au kutekwa hatuna budi kutii maagizo ya Mkubwa .
Alikua sahihi sana.

Maana jiji lilikua linanyonya tu manispaa nyingine na kuongeza gharama zisizokuwa na tija.

Watu walitumia akili kijana usikurupuke.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,441
2,000
Alikua sahihi sana.

Maana jiji lilikua linanyonya tu manispaa nyingine na kuongeza gharama zisizokuwa na tija.

Watu walitumia akili kijana usikurupuke.
Kwani nimebisha basi ? nilikuwa namweleza tu Profesa Chahali kuhusu maajabu ya Chanika na buguruni kwa Mnyamani kuwa jiji , huku oysterbay na Mbezi Beach zikiwa nje ya jiji
 
Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
27,533
2,000
Kwani nimebisha basi ? nilikuwa namweleza tu Profesa Chahali kuhusu maajabu ya Chanika na buguruni kwa Mnyamani kuwa jiji , huku oysterbay na Mbezi Beach zikiwa nje ya jiji
City centre yote ile ni Ilala.

Au hulifahamu hilo??
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
17,356
2,000
View attachment 2067226

Shughuli hii Muhimu sana itafanyika Kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , tarehe 4/1/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi .

Wote mnakaribishwa .

MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Asante kwa taarifa hii muhimu mkuu Erythrocyte ; hii press conference imekuja wakati muafaka, hasa kipindi ambacho serikali ya CCM kupitia Ndugai aka Matonya imeonyesha udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa nchi. Uongozi umeonesha kupwaya kwa kiasi kikubwa sana. Ni wasaa kwa CHADEMA kuonyesha njia namna nchi inavyopaswa kuongozwa kwa kufuata misingi ya katiba. ✍️
 
Kifaurongo

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
4,148
2,000
Tuna almost only two years kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa. Watu wanademka kwa midundo ya CCM. Wakija situka imetoka ikirudi pancha.
Unataka tufanye mikutano ya hadhara ili tuuawe kwa risasi ?
Hizo risasi zinawaogopa Bavicha na Bawacha wanaodemka nchi nzima kushinikiza "Katiba mpya" na "Chadema Digital" ??
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,441
2,000
Tuna almost only two years kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa. Watu wanademka kwa midundo ya CCM. Wakija situka imetoka ikirudi pancha.

Hizo risasi zinawaogopa Bavicha na Bawacha wanaodemka nchi nzima kushinikiza "Katiba mpya" na "Chadema Digital" ??
Hayo tunayoyafanya kwenye Chadema Digital unafanya wewe ?
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
10,386
2,000
Ndungai hakuongea Bali alikwenda kutupu;
Nimekosa Mimi,nimekosa sana...Hivi ndungai mke ,watoto na wajukuu wakikuona hivyo kwenye Luninga wanajisikiaje?,,😂😂😂
Nahisi mpaka mkewe anaona haibu huko alipo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom