Chadema kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

Kwa kuwa Ndugai kaongea na wandishi wa habari, chadema nao wameita press conference.
Hahaa, yajayo yanafurahisha 😂😂
Tuna almost only two years kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa. Watu wanademka kwa midundo ya CCM. Wakija situka imetoka ikirudi pancha.
dah CCM wameshika remote wanabadirisha tu chanell na sisi tunademka balaa...mara paap 2025 hii ...
Wadandia hoja wameitisha ki meeting chao uchwara
Mnaogopa nini MaCCM, mnajenga CCM kwa kuvunja katiba. Na mnataka CHADEMA wakae kimya, kweli.!
Tutapambana mpaka mwisho, kwa maslahi ya kuiilinda mihimili yote.

Alichofanya DHAIFU Ndugai AMEKABIZI Rasmi nguvu ya Bunge kwa Samia, ili kujenga CCM, ni kosa kubwa kikatiba. ni UHAINI.

CHADEMA wapo sahii lazima walikemee hili.
Ipo siku MaCCM mtajua umuhimu wa uwepo wa chadema nchi hii.
Tanganyika ilioparaganyika inaihiitaji CHADEMA.
 
Chama kina Vijana wajinga sana wamejazana mitandaoni bila hoja za maana. Prees meeting imeitishwa na CHADEMA.. Hakuna anaejua wanataka kusema nini, lkn mnapishana humu kujibu hoja kutoka gizani. Mnaisaidia CHADEMA kutangaza jambo lao kirahisi huku mkijidanganya mnakisaidia Chama cha Mapinduzi.
Ndo sababu hoja za Vijana wengi wa CHADEMA hamna uwezo wa kuzijibu zaidi ya kuongea matusi yasiyo na logic.
Tuna almost only two years kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa. Watu wanademka kwa midundo ya CCM. Wakija situka imetoka ikirudi pancha.
 
Ndungai hakuongea Bali alikwenda kutupu;
Nimekosa Mimi,nimekosa sana...Hivi ndungai mke ,watoto na wajukuu wakikuona hivyo kwenye Luninga wanajisikiaje?,,😂😂😂
CCM hatunaga aibu,
 
Back
Top Bottom