Chadema kunyima haki ya uwakilishi arusha mjini ni halali??

Hiki chama kinaongozwa na watu waonabadililika kimisimamo kila mara ambao hawatumii busara kufikia maamuzi. Hukumu iliyoufuta ubunge wa Lema ilipotolewa ilipokelewa na tamko la Lema kuwa atagombea katika uchaguzi mdogo ujao kwa hiyo hatakata rufaa, akielewa rufaa yaweza kuchukuwa muda mrefu kabla ya kufikiwa kwa hukumu husika. Pia alidai kama rufaa ikichukuwa muda mrefu atakuwa amewakosesha wana AR town uwakilishi bungeni.

Majuzi Mbowe kamgeuka Lema na kutoa tamko la kusudio la kukata rufaa; wenye akili tumeshangaa huu msimamo unatoka wapi na kwa maslahi ya nani???

Eleweke kuna mlolongo mkubwa hadi kuanza kusikilizwa rufaa, yaweza kufikia muda wa kikomo kesi za uchaguzi mkuu utafika pasipo AR town kupata mwakilishi wa mjengoni.

Viongozi wa CDM tuimieni BUSARA kwa manufaa ya wananchi wa AR town.

Nilitegemea posting kama hii japo nashangaa kuwa imechelewa! Magamba, jueni. kuwa Chama kubwa (Chadema) lina watu wenye akili! Ha ha ha haaa! Tafuteni mbinu nyingine, maybe mtabahatisha!
 
Tatizo magamba uwezo wao wa kufikiri uko karne ya 19 wenzao chadema wako 22nd century. Hapo mmepigwa penalty ya kisigino
 
Ukiwa Mwana magamba akili zote zinahamia kwenye Masaburi. Mwambi Hawa Ng'umbi afute kesi Ubungo kama ana huruma na wananchi, Mwambie Makamba Sr awatangazie wale wote aliowaambia wafungue kuwa wananchi watakosa uwakilishi bungeni. Mijitu mingine bwana
 
Wewe huna huruma na wana Arusha, bali ujanja wa kizamani kama wa jaji kumtia hatiani lema kwa kifungu kingine cha sheria, na kutoa hukumu kwa kifungu kingine. Viongozi makini wa cdm wanagundua janja hiyo mara moja. Ukombozi huhitaji uvumilivu sana.
 
Leo nimeamka nikakuta wameniwekea bendera ya kijani nje usiku hapa njiro,..kusema jimbo lipo wazi ni propa..nda za magamba kutafuta singo ya kutokea baada ya mbinu zao kushindikana.ni vigumu ccm kuwashikia chini a town
 
inaonekana kuna watu wanatumia mbo.o kufikiria. Mtu kapatikana na kasa la kifungu kingine na kahukumiwa kwa kifungu kingine unataka wakubaliane na huu uhuni? Hivi unajua kwamba kifungu kilichotumika kwenye majumuisho ya kesi kinamzuia lema asigombee kwa miaka mitano?

we ndo hopeless kabisa,hivi mnaona sifa kuandika upumbavu wenu huu? Unatafuta sifa za kijinga badala ya kupambanua mawazo yako,wengi wamekudharau tofauti na unavodhani!
 
Mafilili wewe akili yako iko kwenye shimo la ktkt ya miguu! Eti na wewe unajiita mwenye akili! Kichekesho! Usinitafutie BAN bure!
 
Jimbo likiwa wazi bila uwakilishi mjengoni ni kuwatendea vyema wananchi?? ama kuwanyima haki ya msingi ya kusikilizwa mawazo yao yakapelekwa na mbunge mjengoni.
Walalamikie serikali na judge aliyetoa hukumu feki.... Chadema hatuburuzwi na ndo maana tumeamua kukata rufaa
 
Msamehe, wakati anaandika magamba walikuwa wamemtia hasira.
we ndo hopeless kabisa,hivi mnaona sifa kuandika upumbavu wenu huu? Unatafuta sifa za kijinga badala ya kupambanua mawazo yako,wengi wamekudharau tofauti na unavodhani!
 
Back
Top Bottom