Naomba kama kuna mwislamu mzuri anikumbushe vile... hivi kwenye nchi za Kiislam zinazo-practise sharia... ukiiba mke wa mtu adhabu yake nini vile?
Sipendi ligi za watoto. Wapo waliojitoa na kuhama chama ktk list hii Minda akadai wamekata tamaa. Wapo kama Sugu ambao wanachanja mbuga na sijamsikia akilalama ndo maana nikahoji. Mtu akihama chama sasa hivi si kukata tamaa bali ni tamaa! Sijui nimekusaidia kuelewa?
This is a none issue na kama hujanielewa basi naona hutaki au huwezi.
wakuu,
mfano wa watu hao ni kama akina;
- je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
- kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
- kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
my take:
- nakaaya ( kukata tamaa),
- akina seme wa mbeya ( usaliti),
- akina nkambaku elisha (usaliti),
- yule mwanafunzi wa udom aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
- akina sugu( kukata tamaa).
Hii wakuu imekaaje? Nini kifanyike kurekebisha hali hii?
jamani nijuzeni Mr II ameacha kugombea ubunge mbeya?
...Vilevile acheni huu ujinga wa kuamini ama kudai kuwa kila anayeikosoa CHADEMA basi huyo ni CCM ama amelipwa na CCM. Wapo wengi ambao ni baadhi ya waliokuwa dissapointed na hali ilivyo wakati walikuwa na matumaini ya dhati kwenu....Unapokimbilia kuwakashifu ujue pia unapunguza potential supportes or much needed resources or even a member....
eeeh ndio huyo huyo alie vunja ndoa hiiView attachment 14014
lakini huyu kamanda si mgonjwa wa kifafa kama Bwana Mkubwa , pole sana.
Siasa ni mchezo mchafu, Watu wamevuliwa uraia na kuwa Wakimbizi kwenye nchi yao wenyewe, sembuse kumtengenezea mtu Kashfa ya kuwa anataka luoa mke wa mtu? Jambo la msingi hapa, ni kuwa sisi kama watanzania vipaumbele tunavyovifikiria nani ataweza kutekeleza? Kwa nini kitendo cha ... kuoa kisiri siri hata kama dini inaruhusu na kuwapa madaraka ..... kutuongoza watanzania kwa starehe za dakika 28 hakijakuuma? ......... walisema mnakaa kwenye nyumba ya vioo acheni kurusha mawe, tukirusha....... :mad2:Honestly namheshimu sana Dr Slaa kwa misimamo yake, lakini kwa hili hata mimi amenikwaza sana. (kutembea na mke wa mtu) na kinyume na sheria pia (kutangaza uchumba na mke wa mtu ambaye hajatalikiwa). Unless kuna taarifa za upande wake ambazo hajazisema,
niliamua kufa maskini kuliko kununuliwa na sisi m
Mtizamo wako tu.
Chadema siyo chama cha wanywa kahawa kama CUF na CCM
Minda, sounds so gay-ish!
wakuu,
mfano wa watu hao ni kama akina;
- je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
- kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
- kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
my take:
- nakaaya ( kukata tamaa),
- akina seme wa mbeya ( usaliti),
- akina nkambaku elisha (usaliti),
- yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
- akina sugu( kukata tamaa).
hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?