Kama umetoka Uswazi mawazo yako yatakuwa yamegandishwa na CCM . Huko Uswazi kusiko na huduma muhimu na watoto mnazaa kiutitiri na shule hamuwapeleki sababu hamna uwezo wa kulipa. Mwisho mmebaki na Mateja kibao, magonjwa lukuki na very low life expectancy. Amka huko uliko uje uone mwanga jinsi Mungu anavyopigania taifa lake. Nakaaya is a cheap.?

Sugu amekata tamaa??wakuu,
mfano wa watu hao ni kama akina;
- je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
- kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?
- kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama?
my take:
- nakaaya ( kukata tamaa),
- akina seme wa mbeya ( kukata tamaa),
- akina nkambaku elisha (usaliti),
- yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
- akina sugu( kukata tamaa).
hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?
Sugu amekata tamaa??
Hakuna aliekata tamaa katika list yako bali wote wamerubuniwa kwa pesa so it is plain and simple TAMAA na si Kukata tamaa! Get it? End of story... NEXT :becky:
Jibu swali na sio unaanza kumkashifu mwenzako. Jibu swali kwa hoja, ili sote tupate kuelimika.
hawa ndio wanaotaka watu wa uswazi waamini na wawape nchi watawale?
kwa matusi hayo hata kwa ambae unahangaika kutafuta kura yake, ni kweli mtaweeza ?
Sipendi ligi za watoto. Wapo waliojitoa na kuhama chama ktk list hii Minda akadai wamekata tamaa. Wapo kama Sugu ambao wanachanja mbuga na sijamsikia akilalama ndo maana nikahoji. Mtu akihama chama sasa hivi si kukata tamaa bali ni tamaa! Sijui nimekusaidia kuelewa?Kwahio wote kwenye listi wamejitoa kwenye ugombea au?
Kama listi hii ni kufuka moshi tukikuletea listi ya waliohama CCM na kuingia upinzani si utasema CCM kunateketea na si kunawaka moto.wakuu,
mfano wa watu hao ni kama akina;
- je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
- kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?
- kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama?
my take:
- nakaaya ( kukata tamaa),
- akina seme wa mbeya ( kukata tamaa),
- akina nkambaku elisha (usaliti),
- yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
- akina sugu( kukata tamaa).
hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?
wakuu,

kama kweli ko fair weka list ya waliohama chadema na waliohama ccm ndipo tuanze kujadili hii post.hapo ndio tutajua niwapi panafuka moshi na ni wapi pamebaki jivu ili penye moshi wachukue tahadhari waweze kuchukua nchi.wakuu,
mfano wa watu hao ni kama akina;
- je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
- kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?
- kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama?
my take:
- nakaaya ( kukata tamaa),
- akina seme wa mbeya ( kukata tamaa),
- akina nkambaku elisha (usaliti),
- yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
- akina sugu( kukata tamaa).
hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?
[/QUOTE]Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks