Chadema kuna wakati mnaudhi kweli!

Kama kweli wewe unayasema ya ukweli ungemtafuta kiongozi makini huyo unayemsema ni wrong choise if at all its true.
 
Kuna watu tunapenda vibaya sana!kwan viongoz wa chadema ni malaika?mtawatisha watu wasitoe uozo wakiuona hayo makosa ya lugha ni kitu kidogo suala ni kufanya uchunguz kama ni kweli hiyo tuhuma?otherwise mnatupeleka kulekule kwenye mbinu za ccm kila tuhuma wao ni lete ushahid au ni majungu..
Usiwalaumu bure wachangia mada, ye mleta mada kwanini kwanini asimtaje huyo mama au kwanini hakumpa namba ya watu watu wanaofahamika kama akina mnyika, makene, zitto, wenje, heche nk..kiujumla ni MUONGO!!
 
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa

Huyu anayeongea haya ni shabiki wa Chadema refer post zake za nyuma.
 
Huyu anayeongea haya ni shabiki wa Chadema refer post zake za nyuma.

mkuu ulitaka tukae kimya?mimi ni mwanachama hai wa chadema ndio maana nasema haya hadharani kwa kuwa nakitakia mema chama changu,nyie ccm mmezoea kuficha maovu ndio maana moto unawawakia
 
Hawa ndio CDM maisha wanataka wasifiwe hata kama sifa hizo hawana mara nyingi ukweli hawautaki na kujibu pumba eti lete ushahidi au kutumwa na magamba fanyieni kazi hizo changamoto viongozi wenu sio malaika au ndio mnatoa pepo kwa nguvu za yesu
 
Haijalishi wewe ni mwanachama hai wa CHADEMA, au hata kamani mwenyekiti wa CHADEMA, what matters ni ushahidi..

1.Kama ulikuwa na "nia" njema ya chama ungefikisha
huku huko tena kimya kimya!
2.Kusema kuangalia post zako zilizopita(ili kuona kama ni
mfuasi wa CHADEMA) haisaidii kitu, mtu yeyote anaweza
kufanya hivyo...na kuliko kupoteza muda kuhangaika na hizo previous post/comments kwanini tusitumie muda huo kwanza kuelewa na kupata ushahidi wako!!

3. Wakati mnafanya hayo mazungumzo mlikuwa wenyewe, sisi hatukuwepo...na haiwezekani tukaamini hata kama (unavyosema eti post zilizopita zilikuwa ni za kuiinua CHADEMA)-
- What if umenunuliwa?
- What if mtu anatumia/ametumia ID yako?

So, weka ushahidi otherwise it's just info without source..period!
 
mkuu ulitaka tukae kimya?mimi ni mwanachama hai wa chadema ndio maana nasema haya hadharani kwa kuwa nakitakia mema chama changu,nyie ccm mmezoea kuficha maovu ndio maana moto unawawakia

Kwanza Correction bro, mimi sio mwana CCM maana sina kadi wala sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.

Sasa angalia post za Chadema wenzako hao wasiopenda kukosolewa wameshakuona mamluki.
 
mimi nashangaa sana na hawa washabiki wa chadema,mimi sio shabiki mimi ni real,hawa viongozi hawajatoka mbinguni,wala sio watakatifu,na kwa taarifa ya wanachadema wote ni kwamba viongozi wote wa chadema walikuwa ccm mwanzoni,tuhuma kama hizi nilifikiri zitafanyiwa kazi na uongozi na kuandaa idara maalamu ya kushughulikia watanzania wanao ishi nje ya nchi
Mkuu episodes mimi nakuamini kwasababu hapa jamvin hata comment zako huwa naziona lakini nafikiri ni vyema kuwareport ili wachukuliwe hatua nafikiri wanaishi karibu na lumumba hao ndio maana wana tabia mbovu hivyo
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru kwa taarifa Mkuu, Chadema kinaongozwa na binadamu sio malaika inawezekana kweli kuna watu sio waaminifu wanataka kujinufaisha na umaarufu wa Chadema, na kwa vile kuna viongozi wengi tu wa Chadema wanaingia humu am sure watalifafanua na hata wasipoliezea hapa lakini ndani ya vikao vyao watalijadili, muambie ndugu yako asikatishwe tamaa kirahisi kama kweli ana nia.
 
mkuu mwambie huyo ndugu yako afuate njia za kiofisi ili apate hizo kadi. ni sawa na ukutane na nape au january makamba salt lake city amerika halafu mnaongea bar mambo ya chama, halafu mnakubaliana mkiwa bwax. hiyo chi chawa.

otherwise alete complaints chamani officially. ktk ukombozi wowote lzm kuwe na miba au mbigiri. ndo hao wanaotaka kujinufaisha kwa mgongo wa chama. lzm wang'olewe sbb wanaleta tabia za magamba.
 
Wewe unaifahamu ofisi ya CDM ilipo nenda kazichukue hizo card na katiba ulipie ukawape
 
Usimungu'nye maneno mtaje huyo kiongozi, isijekuwa ni longolongo
 
mimi nashangaa sana na hawa washabiki wa chadema,mimi sio shabiki mimi ni real,hawa viongozi hawajatoka mbinguni,wala sio watakatifu,na kwa taarifa ya wanachadema wote ni kwamba viongozi wote wa chadema walikuwa ccm mwanzoni,tuhuma kama hizi nilifikiri zitafanyiwa kazi na uongozi na kuandaa idara maalamu ya kushughulikia watanzania wanao ishi nje ya nchi


Sasa episode unadhani kwa njia hii unarekebisha au unatatua hilo tatizo. Viongozi kukosea ni jambo la kawaida......sasa umesaidiaje wao kujirekebisha?
 
Episode, unamjua huyo kiongozi? Na kama unamjua unapata shida gani ya kumtaja? Tafadhali mtaje ili tusilione hili andikao lako kama majungu!
 
Back
Top Bottom