brightfuture
Member
- Jul 30, 2015
- 70
- 14
Vyama binafsi Vs Taasisi. Mbowe na Maalimu seif Vs CCM. Ushindi wa CCM na magufuli ni lazima.
Werevu wakuwa WANACCM???Pole ni bora niitwe MPUMBAVU na LOFA na juzi tumeongezewa jina jipya MAMBUMBU mpaka kiama lakini si kuichagua CCM period....
Ni suala la uwezo wa ufikiri na kuamua...ndugu yangu unaonekana uko vizuri na uko sahihi kabisa kutokuhitaji USHAURI ili uendelee kubaki kama ulivyo.Haya Hongera Mwenye akili.Alitoka CHADEMA sasa anarudi kufanya nini???CHADEMA kwa sasa hawahitaji USHAURI toka kwake,sasa atumie muda wake kukisaidia chama chake kipya.
ikulu sio wodi ya wagonjwa upawa ikulu wakafuate nn? wagonjwa kwao hospitalEndelea kuota...ukishtuka UKAWA wako ikulu
anayo haki yakusema ukweli ili ufahamike kwa watu. mficha maradhi kifo humuumbua.Si ulishatoka chadema mbona fikra zako bado zipo huko.
Sawa,lakini October 25 ndiyo tutajua nani mwerevu na ni nani, mbumbumbu, lofa na mpumbavu
mbona una panic tulia hapa mdogo mdogo kama diamondJadiri m/kiti wenu alikoifikisha ccm ya cdm hayawahusu
Ni suala la uwezo wa ufikiri na kuamua...ndugu yangu unaonekana uko vizuri na uko sahihi kabisa kutokuhitaji USHAURI ili uendelee kubaki kama ulivyo.
AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!
Katika muendelezo wa kuwafikirisha, nimeona leo niwaandikie kuhusu hali ya Upinzani na kampeni zinavyoendelea hapa nchini, ambapo hali ya sintofahamu ikiendelea kudhirihi kwa CHADEMA na Kambi yote ya Upinzani hapa nchini, wachambuzi mbalimbali, wasomi na waandishi wameendelea kuandika wakijaribu kuonyesha tatizo lililoikumba kambi hiyo, wengi wao wakisema FEDHA, vipande vya rupia vilivyoingia CHADEMA vimewafarakanisha. Nami Binafsi ktk muendelezo huo huo wa kuchambua hali hiyo nitaeleza CHANZO ama SABABU halisi ya SINTOFAHAMU inayoikumba kambi ya Upinzani.
Kwa Muhtasari sana, niseme CHANZO na SABABU HALISI ya Upinzani kukosa muelekeo na kufikia hapa tulipo ni OMBWE la UONGOZI katika kambi hiyo ikiongozwa na CHADEMA..Mimi niliwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, tena Kiongozi Mkubwa katika jumuiya yake ya Vijana, nilipata fursa ya kushiriki, kuhudhuria na kuchangia katika vikao na mikutano mikubwa, muhimu na nyeti ya Chama hicho.
Ilikuwa bayana kwetu kuwa, ilipofikia CHADEMA ilihitaji UONGOZI mpya utakaokuja na dira, maono na tafakuri mpya ambayo ingeki-transform chama hicho kuwa chama kamili cha siasa na kuondoa uongozi wa hamasa na mihemko ya kiuanaharakati..
Nikiwa ndani ya Vikao vya CHADEMA nikaliweka hili BAYANA kuwa tunalo ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA, sikueleweka, nikaonekana natishia maslahi ya wakubwa na nafasi zao kwenye Chama, nikaonekana ADUI na nikapewa jina MSALITI.
Ukweli ni kwamba FEDHA ambayo leo imetajwa mara kadhaa kuwa ndio sababu kuu ya mfarakano ndani ya CHADEMA, imepata njia kutokana na Ukweli kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi ambao umekosa Vision na Mission, ndio maana wakadhani FEDHA na UMAARUFU wa mtu ni mtaji wa wao kuingia Ikulu, wakasahau misingi, dhamira, imani na kiu ya Watanzania.
CHADEMA haina tabia ya kujitafakari, haijisahihishi, na wamezoea kuishi kimazoea, wanadhani kila siku ni jumapili na kila walisemalo watanzania watalikubali tu madhari limesemwa na wao, na kwamba kila muongeaji basi anasikilizwa. SIO HIVYO...!!
Leo waongeaji wa CHADEMA na WATETEZI wakuu kwenye mitandao ni YERICKO NYERERE, A man with 0.001 IQ, Anaishi katika uongo na uzushi, mpaka kila mmoja amemmpuuza, Mwanakijiji, Chahali na WATABE wengine wa maandishi yenye adili, wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, inajivunia kuwa na YERICKO. Wasomi, watumishi, na wanataaluma wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, wanajivunia madereva bodaboda.
Moja ya sifa ya Mwerevu, ni yule ambae haumwi na nyoka mara mbili, anayejikwaa akaanguka kisha asiishie kuangalia alipoangukia bali hugeuka kwa umakini na kutazama alipojikwaa, ni nini hasa kimemuangusha..Popularity ya CHADEMA na Upinzani imeshuka na inaendelea kushuka kwa kasi, HAWAJIULIZI.
Viongozi wameacha kuchangia hoja za msingi ndani ya Vikao, wameshikwa na woga na wengine wamesusa, Mwenyekiti Mbowe ambae Mimi binafsi nilishamuita ZERO tukiwa ndani ya Kikao changu cha Mwisho nikiwa KAMANDA wa CDM, ameendelea kwenda Mrama kwa kasi ya ajabu...kila jipya analoliamua ni baya kuliko la jana..

Siyo matusi, na ndiyo maana hata ulipomention awali, admin hakuremove reply yako, tukutane Oct 25Hakuna shida.Sababu I value my vote.Pole.Ndiyo maana situmii matusi kukujibu.
Wewe hautakuwa wa Kwanza kuniona Mimi ni mnafiki, lakini pia hautakuwa wa Mwisho, wapo waliokutangulia na wapo watakaufuata baada yako.lakini HOJA yangu itabaki imara na haitabadilika kuwa CHADEMA kuna OMBWE la UONGOZI..ni hoja ambayo nimeisema na kuisimamia tangu nikiwa CHADEMA na nitaendelea kuisema na kuisimamia hata sasa..
Mimi sio katika wale ambao wanataka UPINZANI ufe kabisa, na wala sio katika wale wanaoamini kuwa salama ya CCM ni Upinzani dhaifu..mimi naamini kuwa NGUVU ya CCM, Uimara wake na UTENDAJI wake utakuwa bora zaidi kukiwepo Upinzani Madhubuti, ambao utawakumbusha CCM wanapojisahau..
Mimi ni MwanaCCM, tena sio tu mwanachama bali ni Mtumishi wa CHAMA, naamini katika CCM lakini kama nilivyotangulia kusema kuwa SIAMINI kuwa salama ya CCM ama ya TANZANIA ni kufa kwa Upinzani...siamini hivyo.
Msigwa: "watanzani wakimchagua Lowasa wakapimwe akili zao" sasa hapa ndio tutakapojua nani lofa na mpumbavu
Siyo matusi, na ndiyo maana hata ulipomention awali, admin hakuremove reply yako, tukutane Oct 25
Kiingilishi kigumu ila umeeleweka...The biggest disease we have in Africa is slavery mindset. That is why the ex colonies are still thinking on our behalf, they planning on our development. Africa is poor because it is poor. The brain which cannot emancipate itself from slavery cannot think of development. If you accept to be procured for some money to betray what you were believing in or trusting into no wonder you can even accept selling your country resources for the peanut amount of money. This is kind of revolutionist we have in Africa. Today they in this party tomorrow in another party preaching issues they were opposing or criticizing .
Sitachagua chama ambacho najua kwa uhakika hakioni thamani ya watu wake.Chama ambacho kwa miaka zaidi ya hamsini haioni maovu yake.
Chama ambacho kinaona maovu ya viongozi wake pale tu wanapohama toka chama chao kwenda chama kingine.
Ni bora nikapimwe akili na kuendelea kuitwa Mpumbavu na LOFA kuliko kuchagua tena Chama kile kile chenye maona yale yale,tabia ile ile,ikikumbatia wezi wale wale.
Nipo na imani na ninachokiamini hakuna na hakutakuwa na maendeleo kamwe chini ya CCM mpaka pale wanaCCM walio wengi na ambao ni MALOFA na WAPUMBAVU kama mimi watakapojitambua kuwa na wao pia wako kama mimi.
Huyu mama anatafuta kiki baada ya kupotea katika anga za siasa