CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

Acha umbea toka lini ccm ikawa mshauri wa CHADEMA:what::banghead:ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni nikuambie kitu hii nchi ni yetu sote tunajua baya na jema kwa hiyo usipoteze pumzi kutuambia hii nyeusi wakati ni nyeupe ni m.baya jully angalizo ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakuwa mchawi.
Umbea ni kutoa taarifa za upande mmoja kupeleka upande wa pili bila ridhaa ya mhusika, huu sio umbea ni kupeana habari juu ya yanayojiri katika siasa
 
Juliana wewe ni mwanaccm kwa sasa ya Chadema tuachie wenyewe.Umemsikia Mkapa ametuamgia kwamba sisi tu Wapumabavu na Malofa.Hakuachia hapo amemalizi juzi kwa kutuita mbumbu hakuna shida.

Maana Mpumbavu na Lofa ni vyema akaongozwa na Mpumbavu na Lofa mwenziwe.Na pia ni bora Mbumbu akaongozwa na mbumbu mwenziwe.

Fanya yako ya kwetu tuachie hayakuhusu.Ni wakati wa kampeni uza sera za chama chako.Cha kwetu tuachie.

Hilo siyo tatizo, tatizo ni baadhi yenu kujikubali kwamba ni malofa wakati siyo malofa, na ndiyo maana mnapewa ushauir mnaweza kuwa werevu
 
Acha umbea toka lini ccm ikawa mshauri wa CHADEMA:what::banghead:ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni nikuambie kitu hii nchi ni yetu sote tunajua baya na jema kwa hiyo usipoteze pumzi kutuambia hii nyeusi wakati ni nyeupe ni m.baya jully angalizo ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakuwa mchawi.

Bora huyu Juliana ambaye amesema, kuwaambia nyie, kuliko hao waliotuambia hii nyeusi halafu leo wanatuambia ni safi, inafaa, huo ndio unafiki na kutufanya malofa,
 
Tatizo kubwa wametawaliwa na uchu na urohoo wa madaraka Hakika dhambi hii itawaumiza sana

Itawaumiza wale wanaotafuta madaraka kwa namana yoyote hali ya kuwa wanajua, hawana sifa za kuwa viongozi
 
Acha umbea toka lini ccm ikawa mshauri wa CHADEMA:what::banghead:ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni nikuambie kitu hii nchi ni yetu sote tunajua baya na jema kwa hiyo usipoteze pumzi kutuambia hii nyeusi wakati ni nyeupe ni m.baya jully angalizo ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakuwa mchawi.

Sasa umbea umetoka wapi mbona watanzania hampendi kuelemishwa jamani tutabadirika lini embu tufikie hatua tukubali ukweli alieandika hii makala ameongea ukweli kabisa wala hakuna uongo ndani yake,kwa sasa chadema imeporomoka sana wanahitaji kujipanga upya kwa kitendo tu cha kumkaribisha lowassa na kumpa dhamana ya kugombea cheo kikubwa kama hicho ilihali walitambua kabisa ni mtu mchafu na anatumimiwa kwa kashifa za kifisadi iweje sasa leo aonekane shujaa hapo wamekosea sana na wasipoangalia chama ndio kimepotea hivyoo
 
Anza na CCM kisha umuulize mzee Nassor Moyo, Mzee Ntagazwa, Mzer Lwaitama na wengineo. Chadema ya Mbowe ni tofauti na ile ya Bob Makani ama Mzee Mtei. Hizi siasa za leo ni siasa huria haijalishi itikadi ama unaamini nini. Isipokuwa makubaliano na maridhiano yenye malengo yanayofanana chanya na uelekeo jadidi. Dada Juliana kesho unaweza ukaona.malengo yako na CCM hayatimii unakuwa huru, kuhama chama ama kuanzisha chama chako na ndio demokrasia. Watu wanahama dini na dhehebu seuze chama?
 
maneno yako ni yakweli kabisa, lakini jiuliize kwanini baada ya kukatwa ndio mtu anahama chama,je angepewa nafasi ya kugombania angehama?
 
Tumekusikia lakini umechelewa sana saivi mana haisaidii. Makamanda tumeshaamua EL kuingia ikulu. Na hao waliokutuma waambie makamanda tuko imara sana hatutetereki. Mlidhan kwa kumnunua slaa na lipumba tungetetereka lakini ndo mnatuongezea nguvu ya mapambano
 
tukiacha ushabiki , na kuweka pembeni nakusupport kwa asilimia 100, kwani hujaongea tu bali mambo yako wazi na yananonekana ni kweli, tatizo la ukawa hawapendi kuambiwa ukweli wanapenda uongo zaidi,, waswaili wanasema ambea hapendi kuambiwa maana , hajui maaana, fikra zao zimeshajikita sehemu moja hivyo utakavyowaambiwa watadhani unawasengenya , ila ukweli ndo huo kabisa!!

i thnk its a free country kila binaadamu ana uhuru wa kuongea anachojiskia, na tatizo la wakiwa hawapendi kuambiwa ukweli, ila wao wanapenda kusema sema tu wanaona sawa sijaona tatizo na hilo post maana kaongea ukweli kabisa na sio uongo na siku zote ukweli unaumwa , mwisho wa wakiwa ni oktoba 2015
Si ulishatoka chadema mbona fikra zako bado zipo huko.
 
hivi huko ccm hujapata tu bwana wa kudumu naye... make wewe tatizo lako tokea awali ni hilo tu... Unazunguuuuka lakini tatizo lako ni hilo...!!
nakushauri uache tabia yako ya "upigaji" - wanaume wa sasa hivi wako money-cognizant!! Eat and run hadi unazeeka!!
 
tukiacha ushabiki , na kuweka pembeni nakusupport kwa asilimia 100, kwani hujaongea tu bali mambo yako wazi na yananonekana ni kweli, tatizo la ukawa hawapendi kuambiwa ukweli wanapenda uongo zaidi,, waswaili wanasema ambea hapendi kuambiwa maana , hajui maaana, fikra zao zimeshajikita sehemu moja hivyo utakavyowaambiwa watadhani unawasengenya , ila ukweli ndo huo kabisa!!

people are still blinded they don't know exactly what they want na ndo maana wapo busy kukanusha everything , sijaona kosa lolte lililozungumzwa hapo , nashangaa watu wanaponda tu, kwenye ukweli tuseme ukweli tuacheni ushabiki maandazi

KUPOTEA...hivi unajua tafsir ya neno kupotea..??
Subiri shughuli yangu utaiona BUNGENI...MTANYOOOKA tu.
 
Jadiri m/kiti wenu alikoifikisha ccm ya cdm hayawahusu

its a free country kila mtu anauwezo wa kuzungumza anachoona kipi kinafaa, mnapenda 2 positive comments??? hamtaki kuambiwa negatives, , ...yuko sahihi, anachoongea na tutawazika wakiwa 2nawazika oktoba endeleeni kuchimba kaburi
 
penye ukweli uongo utajitenga tuh, huu ndio mwisho wa misingi ya cdm.
 
Umenena dada, wacha tuyafikirie haya, ila kwa sasa ni bora mtu uwe kama non aligned movement, mimi nausoma kwanza mchezo
 
Kwa haya yanayoendelea, mimi naomba amani tu, kama CCM imefanikiwa kutunza amani kawa miaka yote hiyo, basi ntaiacha ipate tu ushindi maisha yaendelee
 
its a free country kila mtu anauwezo wa kuzungumza anachoona kipi kinafaa, mnapenda 2 positive comments??? hamtaki kuambiwa negatives, , ...yuko sahihi, anachoongea na tutawazika wakiwa 2nawazika oktoba endeleeni kuchimba kaburi
Ni kweli, hii ni forum kila mtu ana uhuru na nafasi ya kuzungumza ila tu tusichupe mipaka
 
Kuwa na Akili wewe Juliana alikuwa kiongozi wa Bavicha hivyo lazima afuatilie kama mwanasiasa na atoe ushauri ili kuleta changamoto katika siasa. NB Hizi ni siasa za Vyama vingi.

Haya Hongera Mwenye akili.Alitoka CHADEMA sasa anarudi kufanya nini???CHADEMA kwa sasa hawahitaji USHAURI toka kwake,sasa atumie muda wake kukisaidia chama chake kipya.
 
Hilo siyo tatizo, tatizo ni baadhi yenu kujikubali kwamba ni malofa wakati siyo malofa, na ndiyo maana mnapewa ushauir mnaweza kuwa werevu

Werevu wakuwa WANACCM???Pole ni bora niitwe MPUMBAVU na LOFA na juzi tumeongezewa jina jipya MAMBUMBU mpaka kiama lakini si kuichagua CCM period....
 
Back
Top Bottom