CHADEMA kuna nini igunga?

Najua we ni wa magamba, na nakuhakikishia kuwa CDM wako juu kuhusu kutuma taarifa watatuma baada ya kufanya utafiti sunajua CDM huwa hawakurupuki?. They never speak without evidence!.
 
kuna makamnda wana jianda kwenda Igunga wengine wanajianda kwenda Lushoto....naamini mtapa updates mpaka siku ya fainali....na tumejipanga
Makamanda wengine tunakwenda Rorya kwa wanaume sasa kafu wameona wamefika baada ya mvua ya Igunga hutawasikia tena wote watarudi kwao pemba.
 
Mmmh,kabla sijabadilisha jina hapa nilitoa utabiri wangu juu ya matokeo ya chadema igunga,...
nilitukanwa sana,sasa nasubiri yatimie ndipo niwape quote ya nilicho kisema wakati ule
Ulichosahau tu ni kubadili AVATAR ni ile ile.
avatar25214_21.gif
 
Mkuu, Igunga ngumu kwa CDM hamna kitu watapost nini Magwanda kama migambo wa City wapo Igunga wanang'aa sharubu tu
<br />
<br />
hivi unakuwa na kiburi cha kuwakashifu wanamgambo? Kweli mnalewa madaraka. Haya, tutaona mwisho wake haya yote yetu macho.
 
Chadema hawakurupuki,chadema ni watu wa kuongea 'classified information' siyo watu wa kuleta thread ilimradi wamepost! Hata hivyo sijui utafiti wako umelalia wapi! maana kunapost kibao za makamanda kuhusu Igunga!
kwa nn msiseme ukweli? mambo magumu kw cdm huko igunga! wana igunga sisi-em oyeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tumewatanguliza CUF kwa picha za kuchakachua za pemba karibu chenga zinawaishia,
mtanange utakapoanza pumzi kwishiney ni mapovu tu yatawatoka mtasema tena mbona post za CDM zimezidi?

'CUF yafunika urejeshaji fomu'

_DSC0924.JPG

Palipo na CUF lazima pawepo nembo ya CCM!
 
Ukiona hivyo ujuwe magwanda wameshikwa wakashikika hawana pa kupumulia. Wangekuwa wanahisi japo kidogo kuwa kuna kaushindi, ungewaona humu.

Saa hizi magwanda wako kimya wanatafuta njia ya kususa. Kama mnabisha mtanambia.
 
Umemrithi shekh Yahaya kutabiri??
 
Kukiwa na uchaguzi ni raha sana, yaani tambo, mbwembwe za kila aina utaziona humu. Ok cha kuomba ni uchaguzi ufanyike kwa haki bila uchakachuaji au mizengwe isiyo na tija kwa taifa.
 
Ukiona hivyo ujuwe magwanda wameshikwa wakashikika hawana pa kupumulia. Wangekuwa wanahisi japo kidogo kuwa kuna kaushindi, ungewaona humu.

Saa hizi magwanda wako kimya wanatafuta njia ya kususa. Kama mnabisha mtanambia.
bwahahahahaahahahahahaaaaaaaaa:) wameshikwa pabaya kwelikweli
 
CHADEMA walikuwa Dar-es-Salaam kwenye harusi ya mmoja wao over the weekend.

I'm sure sasa hivi watakuwa wameshamaliza priority ya harusi.
 
Hii thread imekaa kimagamba ndio maana watu wenye akili zao hawachangii, hata kampeni bado mnajipa ushindi je uchaguzi ukifika? Tunatoa taarifa zenye source na sio za kukurupuka kimagamba
 
Back
Top Bottom